Wastara Kikaangoni EATV, aibua mapya ya Mange Kimambi, Ali Kiba kumpa msaada na hasimu wake kumnyima

Wastara Kikaangoni EATV, aibua mapya ya Mange Kimambi, Ali Kiba kumpa msaada na hasimu wake kumnyima

Tatizo hata stori hujaisoma, AK mwenyewe hakuwa na kitu, ila alimwambia Wastara asubiri wakapige show ya Kenya akirud atampa atakacho pata. Wastara alisubiri jamaa alivo rudi akampa chochote. Diamond hata feedback hakurudisha kwa hiyo tusimsemee kama alikuwa hana. Diamond asinge shindwa kuwa na kias kidogo cha kumsaidia Wastara. alikuwa ni mchoyo lakini hatuna haja ya ku jadili mabaya ya diamond kwenye sehemu ya mazuri ya Ali Kiba.
Wewe ulimsaidia, si alitangaza kuomba msaada kwny media, naona umekomaa na mond tuu.
 
Yaani aliachana na mume wake kisa kuombwa risiti?
Pumbavu sana huyu dada.
 
Wastara amesema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha KIKAANGONI kinachorushwa kupitia ukurasa wa facebook wa EATV kila siku ya Jumatano kuanzia saa nane mchana mpaka saa kumi jioni, Wastara anasema kuwa alimuandikia barua Diamond Platnumz kuomba msaada pamoja na Alikiba lakini kwa Diamond alionekana yeye ni kama tapeli.

"Niliandika barua kuomba msaada hivyo nilimuandikia Diamond lakini watu wake walimfikishia taarifa kuwa mimi tapeli hivyo hakuweza nisaidia ila pia wakati huo huo nilimuandikia Alikiba na Alikiba akaniambia kuwa kuna watu walikuwa na show yao Kenya ila walikuwa hawana fedha yeye anazohitaji hivyo akaniahidi kuwa atakwenda kufanya show hiyo ili aje kunisaidia, kweli alikwenda na aliporudi aliniletea fedha hizo" alisema Wastara.

Mbali na hilo Wastara amesema kuwa moja ya sababu kubwa kuachana na mumewe Sadifa ilikuwa ni pamoja na mumewe huyo kulazimisha apewe risiti zote alizokwenda nazo kwenye matibabu kwa fedha alizochangiwa na Alikiba, Makamu wa Rais Mama Samia ili yeye akalipwe fedha zote na Bunge.

Aibua mapya kuhusu Mange Kimambi

Msanii wa filamu nchini Tanzania Wastara Juma amefunguka na kumchana mwanaharakati wa mitandaoni Mange Kimambi na kusema kuwa dada huyu ana matatizo ya akili ndiyo maana anakurupuka katika baadhi ya mambo.

Wastara amesema hayo kupitia kipindi cha KIKAANGONI kinachorushwa na EATV kupitia ukurasa wa facebook wa EATV kila siku ya Jumatano saa nane mchana mpaka saa kumi jioni na kusema kuwa Mange Kimambi alizusha juu ya Cannula aliyowekwa mkononi na kusema alijiwekea mwenyewe, Wastara amesema kuwa mbali na kuzusha huko lakini dada huyo alikwenda mbali mpaka kuwauliza madaktari wa hospitali aliyokuwepo kama anatibiwa hapo.

"Mange Kimambi, aliwahoji madaktari India, mimi nikashangaa wale madaktari wanakuja wananiuliza kwani wewe ni nani Tanzania nikawaambia kuwa mimi ni msanii tu wa kawaida kule, wakaniuliza unamfahamu huyu mtu anajiita Mange Kimambi kwenye Instgram anasema ni dada yako, pia mwandishi wa habari anakuulizia mimi nikawaambia sina dada ana cheti cha Milembe" alisema Wastara

Mbali na hilo Wastara amesema kuwa kama Mange Kimambi angekuwa na akili timamu basi alipaswa kuangalia vizuri ile Cannula ambayo alikuwa amewekewa kwani ilikuwa imewekwa vizuri tu na wala si huo uzushi ambao yeye alikuwa anazusha.


View attachment 714689
Cannula iliwekwa vizuri tu, huku ikiwa upside down?.
safi na pole dada yetu.
 
Kina wema sepetu,kiba,dai na wengineo wanawika mitandaoni kutokana na kazi zao wanazofanya
Huyu nungayembe anajilazimisha nae awike mitandaoni kwa kazi ya kuomba misaada
Hivi hajiulizi wala hajioni kama anajidhalilisha????
Ati kaanza kumchokonoa na Mange[emoji3]yoote hio apate nae umaarufu tu mitandaoni[emoji3]
Kiba akisikia kama anatangazwa kuwa kampa tafu,naimani hato ona tena hata sumni ya kiba[emoji1321]
 
Sawali langu katika iyi Canula ni moja tuu. Nalo ni kama ilikuwa sio feki mbona alifuta iyo picha fasta?
 
Bongo amesemaje kuhusu wao??, ache kulalama ,kuna wa tz wako wana shida sana lakini wanalilia ndani kwa ndani
 
Kashapewa jibu mubashara na mange kule insta ni hatari
 
Naona mange kafuta post maana matusi yale si ya nji hii
 
" Diamond asinge shindwa kuwa na kias kidogo cha kumsaidia Wastara. alikuwa ni mchoyo"Hii kauli yako inaonyesha kwamba wewe unauhakika Diamond alikwa na ela ila hakumsaidia (Ushamuhukumu tayari ila unajitahidi kuzunguka), hebu irudie statement yake hii uanajitahidi kujivua uonekani humlaum Diamond lkn maneno yake yenyewe yanakukataa,pili ina maana wastara anajua Diamond yy kila siku ana ela au akaunti yake ina kiasi gani ?Tuaacheni lawama za kipuuzi.
Yeye awe anauhakika anapesa au hana.. Kwa kifupi msaada in sadaka.. Na mtu anatoa kwa nia. Kama diamond hakutoa basis hakutoa.. Diamond hana obligation yoyote juu ya kula kulala matibabu ya wastara.. Sometimes hata pole inatosha.

Ukaugue usumbue watu.. Huo ni ujinga tu. Halafu MTU anatetea.. Alikuja kuomba na hakupewa aende na safari zake.. Ni uchoyo sio uchoyo hilo linabaki ndani ya moyo Wa MTU.. Yeye ndio anajua na Mungu wake kwa nn hakumpatia.
 
Sasa braza unakosea mimi ntamlaumuje Diamond kwenye matumizi ya pesa zake? Nime eleza uhalisia tuu tena kiroho safi bila lawama, msaada ni hiari.
Tunashindwa kuelewana na nyie kwakuwa mnataka sasa mumtetee diamond eti alishindwa kutoa msaada eti hana hela. Tunamuongelea Diamond, msanii mwenye p0esa kuliko wote Tanzania haimek sense kumtetea.
Pili Diamond hakumwambia Wastara kuwa yeye hana hela, kwa hiyo tusiwe wasemaji wa Diamond.
Tuache kutetea upuuzi.
Mimi simlamumu Diamond hata kidogo. Iakini hainizuii kuongea uhalisia wa tukio.
Na matumizi na malengo yake yanahitaji pesa zaidi.. Unajua nikiwa shule nilikuwa nikisika bro analipwa million na nusu nilikuwa naona bro anapesa sana.. Then nikapata na mm kazzi na pesa nyingi zaidi lakini nikajikuta na mid nasema sina pesa.. Maana na malengo yanakuwa makubwa.

Diamond anapesa nyingi ila haitoshi kuwa sababu ya Mimi na wewe kuamini kuwa always atakuwa na stash pembeni wastara kuja kuomba msaada. Huenda ameshapeleka zaka msikitini na anafanya vitu kwa hesabu.

Utaanzisha vituo vya redio kama unawaza kutwa kucha wastara atakuja kuchukua pesa ya matibabu?! Tuepuke kutengeneza watu scenario ambazo hazina msingi. Aliombwa na akawa hana.. Basi.
 
Back
Top Bottom