[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jana nilikuwa nakuona tuu mfyuuuu ulivyokuwa unajishaua,.
Mhuu! Hii umetia chai ya alovera au mwarobain kbsa!Sijawahi shuhudia but sifa zao nazisikia. Nasikia jamaaa ni hatari na nusu. Mmoja anaweza kuwa amekaa mbele karibu na dereva na mwingine nyuma ya basi afu wanapiga story kwa kilugha ahahahhha
Onyangooo
Ulinogaaa balaa..na venye ulikuwa unafungua champagne woiii...kuna MTU nilimuona alikuwa anataka ku-com[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kujishaua kama kote najiona nipo milima ya usambaani woiiiiii
Ulinogaaa balaa..na venye ulikuwa unafungua champagne woiii...kuna MTU nilimuona alikuwa anataka ku-com[emoji23][emoji23]
Kwani wanajua kusoma??Ngoja wapite apa wakutolee mapovu
Ngosha angalau wewe umeenda shule ebu waelimishe ndugu zako.Sijui tumekosea WAP awamu hii
Wee acha tuu...ntakuonesha baadae nilimpiga picha kwa mbali..Hahahahah ulimuona wapi huyo mtu
Nimemkumbuka ndebile,Sulusi kasanki(rip) na Malemo JumaTukiwa form one si unajua ile boarding unafungashiwa zagazaga kibao.... Basi kila nachotoa jamaa wanahoji blue band hawajui, kiwi Hola, sijui mango peackle na vizaga kibao hola Mwisho tomato sauce jamaa akapiga aroo rinatudangaya haya sio manyanya itakua Ni madamu ya mtu... Daah Malale hii dhambi ilimtafuna all those four years.. Sema they are very good friends can't forget them
Wee acha tuu...ntakuonesha baadae nilimpiga picha kwa mbali..
Ahh bwanaa kuna yule alikuwa amevaa shati kama jekundu jekundu hivi,.alikuwa anakukata jicho balaaHahhahah
Ila ujue pale wote ni ndugu kabisa
Ahh bwanaa kuna yule alikuwa amevaa shati kama jekundu jekundu hivi,.alikuwa anakukata jicho balaa
Sio huyo bwanaa,.alikuwa amekaa kwa wageni waalikwa karibu na mlango wa kutokea,.Yupo kwa nyuma yangu amevaa tie ya pink kama ni kwenye picha yule anko wangu ndio alikuwa anaoa
Ebu nirudie kuangalia ni video au picha mamaSio huyo bwanaa,.alikuwa amekaa kwa wageni waalikwa karibu na mlango wa kutokea,.
[emoji23][emoji23][emoji23]ulilewaa wwEbu nirudie kuangalia ni video au picha mama
[emoji23][emoji23][emoji23]ulilewaa ww
Nkasuu uri.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] i feel you bruh