Wasukuma na Simu mnaboa aisee!

Wasukuma na Simu mnaboa aisee!

Dawa yao unatoa na wewe simu unaweka singeli kwa sauti ya juu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kujishaua kama kote najiona nipo milima ya usambaani woiiiiii
Ulinogaaa balaa..na venye ulikuwa unafungua champagne woiii...kuna MTU nilimuona alikuwa anataka ku-com[emoji23][emoji23]
 
Tukiwa form one si unajua ile boarding unafungashiwa zagazaga kibao.... Basi kila nachotoa jamaa wanahoji blue band hawajui, kiwi Hola, sijui mango peackle na vizaga kibao hola Mwisho tomato sauce jamaa akapiga aroo rinatudangaya haya sio manyanya itakua Ni madamu ya mtu... Daah Malale hii dhambi ilimtafuna all those four years.. Sema they are very good friends can't forget them
Nimemkumbuka ndebile,Sulusi kasanki(rip) na Malemo Juma
 
Mwangaluka wababa na wamayo,ule mhola du mayo...mwabeja kolumba gete!
Nkima ale na madako matale!
 
Shukuru hakukua na Wanyakyusa kwenye hilo gari. Ungekutana na remix ya hao wawili ungefikia hospital Mwisho wa safari yako maana kuumwa kwake kichwa kusingekua kwa kawaida kwa kelele ambazo ungekutana nazo
 
Back
Top Bottom