[emoji23][emoji23][emoji23]Watoe tuu povu hata detol,wanaboa sana hawa jamaaa nashukuru yule msukuma baba gilesi niliweza kumkimbia looh sio kwa sifa zile na ushamba wake mfyuuuu[emoji23]
Unanichekaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3]hii kesi yako sipo ..ngoja urushiwe maweKwani wanajua kusoma??
Msalimie baba gilesi kwann lkn umemuacha?Unanichekaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Me stakii ujinga aki vile...nikiwa saluni ananipigia simu eti nimbusu nisipombusu ananifuata mpaka nilipo halafu anaongea kwa nguvu na wakati huohuo anakuomba msamaha na msauti wake mfyuu..masikio yangu yalichoka yaani baba gilesi jamaniii khaaaMsalimie baba gilesi kwann lkn umemuacha?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] teh ila wanajuaga kupenda haoMe stakii ujinga aki vile...nikiwa saluni ananipigia simu eti nimbusu nisipombusu ananifuata mpaka nilipo halafu anaongea kwa nguvu na wakati huohuo anakuomba msamaha na msauti wake mfyuu..masikio yangu yalichoka yaani baba gilesi jamaniii khaaa
Mmmh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanaganda kama ruba,.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] teh ila wanajuaga kupenda hao
Me stakii ujinga aki vile...nikiwa saluni ananipigia simu eti nimbusu nisipombusu ananifuata mpaka nilipo halafu anaongea kwa nguvu na wakati huohuo anakuomba msamaha na msauti wake mfyuu..masikio yangu yalichoka yaani baba gilesi jamaniii khaaa
Sijawahi shuhudia but sifa zao nazisikia. Nasikia jamaaa ni hatari na nusu. Mmoja anaweza kuwa amekaa mbele karibu na dereva na mwingine nyuma ya basi afu wanapiga story kwa kilugha ahahahhha
Onyangooo
Me stakii ujinga aki vile...nikiwa saluni ananipigia simu eti nimbusu nisipombusu ananifuata mpaka nilipo halafu anaongea kwa nguvu na wakati huohuo anakuomba msamaha na msauti wake mfyuu..masikio yangu yalichoka yaani baba gilesi jamaniii khaaa
Wasukuma sio poa,.Mwanaume wa kisukuma kuomba msamaha ni umama,mwanaume ni kuwa mbabe
We mkulya na wewe ni mtuHahahha ukwel mtupu kama mimi nilikuwa natokea Musoma kuja Mwanza..yaan shida tupuu
Tunaonewa sana Dina. Nilitegemea ututetee lakini umeishia kucheka tu [emoji24][emoji24][emoji24]Haahhahahahaha
Nacheka maana nami ni msukuma kwa hiyo tusiwakasirikie wacheke tuTunaonewa sana Dina. Nilitegemea ututetee lakini umeishia kucheka tu [emoji24][emoji24][emoji24]
Ni kweli shemeji. Sisi washamba [emoji16][emoji16][emoji16]Wasukuma eti ni kweli ebu njooni
Naona mmegeuka wasukuma nanyie kuleta story zenuSio huyo bwanaa,.alikuwa amekaa kwa wageni waalikwa karibu na mlango wa kutokea,.
Leo nimepanda Basi toka Mkoa mmoja wapo wa Nyanda za Kusini naelekea Kanda ya Ziwa nikiwa na shauku kubwa kwakuwa tulipita njia ambayo nilikuwa nikiisikia sifa yake kuwa si rafiki hasa pale mkipata tatizo mnaweza kaa hata siku2 bila msaada, kufika eneo flani linaitwa Lupa wakapanda Wasukuma kama4 hivi, sasa wakaanza kupiga simu na wengine kupigiwa, mmoja alikuwa nyuma yangu, mwingine pembeni na mbele yangu, aisee hizo sauti naona walifikisha volume100%, nikaanza kujisachi labda kama nawezakuwa na ear-plug mfukoni nikakosa, nikatamani tufike sehemu network ipotee kabisa lakini wapi, inabidi kesho nikapime masikio, na safari nilio a mbaya na sipiti tena hiyo njia. Wasukuma mnaboa bhana.
Nawe ni Msukuma? Tangu lini?Nacheka maana nami ni msukuma kwa hiyo tusiwakasirikie wacheke tu