Wasukuma na Simu mnaboa aisee!

Wasukuma na Simu mnaboa aisee!

Msalimie baba gilesi kwann lkn umemuacha?
Me stakii ujinga aki vile...nikiwa saluni ananipigia simu eti nimbusu nisipombusu ananifuata mpaka nilipo halafu anaongea kwa nguvu na wakati huohuo anakuomba msamaha na msauti wake mfyuu..masikio yangu yalichoka yaani baba gilesi jamaniii khaaa
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] teh ila wanajuaga kupenda hao
 
Wasukuma hawaombagi msamahaaa wanawake,msamaha ni kuhonga.
Me stakii ujinga aki vile...nikiwa saluni ananipigia simu eti nimbusu nisipombusu ananifuata mpaka nilipo halafu anaongea kwa nguvu na wakati huohuo anakuomba msamaha na msauti wake mfyuu..masikio yangu yalichoka yaani baba gilesi jamaniii khaaa
 
Mwanaume wa kisukuma kuomba msamaha ni umama,mwanaume ni kuwa mbabe
Me stakii ujinga aki vile...nikiwa saluni ananipigia simu eti nimbusu nisipombusu ananifuata mpaka nilipo halafu anaongea kwa nguvu na wakati huohuo anakuomba msamaha na msauti wake mfyuu..masikio yangu yalichoka yaani baba gilesi jamaniii khaaa
 
Leo nimepanda Basi toka Mkoa mmoja wapo wa Nyanda za Kusini naelekea Kanda ya Ziwa nikiwa na shauku kubwa kwakuwa tulipita njia ambayo nilikuwa nikiisikia sifa yake kuwa si rafiki hasa pale mkipata tatizo mnaweza kaa hata siku2 bila msaada, kufika eneo flani linaitwa Lupa wakapanda Wasukuma kama4 hivi, sasa wakaanza kupiga simu na wengine kupigiwa, mmoja alikuwa nyuma yangu, mwingine pembeni na mbele yangu, aisee hizo sauti naona walifikisha volume100%, nikaanza kujisachi labda kama nawezakuwa na ear-plug mfukoni nikakosa, nikatamani tufike sehemu network ipotee kabisa lakini wapi, inabidi kesho nikapime masikio, na safari nilio a mbaya na sipiti tena hiyo njia. Wasukuma mnaboa bhana.

Ungefanya ' ukaguzi ' wa ' Kutukuka ' wa hizo Simu zao zote ungezikuta nyingi zina ' cracks ' kwani Msukuma kila anachokifanya lazima 100% nguvu itumike mno. Natamani siku moja uwabahatishe wakiwa wamekutangulia ' Chooni ' uone jinsi Kuta za ' Chooni ' zinavyopata taabu kwa ' Kusukumwa ' huku ' Njemba ' ikiwa inaratibu utokaji wa ' Makimba ' kuelekea Shimoni. Hapo bado ' hawajakujambia ' Mkuu ndiyo ' ungewakoma ' kabisa.
 
Back
Top Bottom