Wasukuma na Simu mnaboa aisee!

Wasukuma na Simu mnaboa aisee!

Hio njia nimewahi kupita na huwa ni malele na kubishana kwenye gari t3na wanabishana kisukuma alafu wanacheka kwa sauti kubwa kweli njia nzima ni Fujo hawataki kusogea nyuma alafu wanabanan kwenye gari daah wasukuma bwana
Mbaya to tabora hio
Aisee wanaweza kufanya masikio yasiwe na usikivu, na ni njia hiyo hiyo😂😂
 
K
Hahaaaa hata ungevaa earphones wangezizid, umenikumbusha jamaa yangu Shija alipopokea boom akaenda town kununua nguo za mitoko, anarud ananionesha nguo kila anayotoa akiweka kitandan n pajama la mchele mchele, wazee nilichekaaaa....... kila nikitaka kuacha akitoa jingne naanza mwishowe nikaanguka nikajigonga mlangoni mpk leo nina alama, Kila nikikumbuka lile tukio nacheka sanaa, Moja alinipa ninalo mpk leo la ukumbusho, Ila n watu fresh sanaaa, His was one of my best friend kwa kweli, with our better days and better campan, asaiv majukumu yanatubana, Hakuna kitu kizur kama kua na marafk wazur asee, Hapo sijazungumzia raba kama za kangi na Yale maviatu ya zaman yenye soli kubwa yenye gorofa(siyajui jina ila wahenga mtakua mnayajua), machinga Mungu anawaona
Kiukweli kwa ukarimu hasa ukiwa kwao ni wakarimu hasa, ishu kelele na kuongea kilugha, maana kwa lugha yao huwa wanakandamiza maneno, yahitaji uwe na msuli wa koo
 
M
Makongorosi,Lupa,Kambikatoto,Itigi,Singida to Mwanza.Dah umenikumbusha maeneo ayo mkuu,ila tulikula vumbi balaa😂😂
Mpk sasa ni vumbi kwenda mbele na huko maeneo ya Ikole ndio wanasawazisha waweke lami nadhani
 
Jamani mnanikumbusha mbali sana. kipindi nilikua Shinyanga nilimpata bibi wa kipush. jama kufika faragha hiyo chupi aliyovaa. bukta si bukta. kaptula si kaptula sijui ni tambata gani. si unajua chupi nzuri ya kike huamsha hisia zaidi hasa mwanamke akiwa na chura
😂😂😂
 
Hahaaaa hata ungevaa earphones wangezizid, umenikumbusha jamaa yangu Shija alipopokea boom akaenda town kununua nguo za mitoko, anarud ananionesha nguo kila anayotoa akiweka kitandan n pajama la mchele mchele, wazee nilichekaaaa....... kila nikitaka kuacha akitoa jingne naanza mwishowe nikaanguka nikajigonga mlangoni mpk leo nina alama, Kila nikikumbuka lile tukio nacheka sanaa, Moja alinipa ninalo mpk leo la ukumbusho, Ila n watu fresh sanaaa, His was one of my best friend kwa kweli, with our better days and better campan, asaiv majukumu yanatubana, Hakuna kitu kizur kama kua na marafk wazur asee, Hapo sijazungumzia raba kama za kangi na Yale maviatu ya zaman yenye soli kubwa yenye gorofa(siyajui jina ila wahenga mtakua mnayajua), machinga Mungu anawaona
Hayo maviatu yenye soli kubwa si huwa tunayaita MTWANGO
 
Hilo tu? Saa zingine wanaweza fika sehemu ina muziki Mkubwa na bado anaweka muziki uliomo kwenye simu yake anasikiliza,na hilo walikusamehe tu mana ungekwazika zaidi kwa sababu ungekula midundo ya miziki ya kisukuma hadi ungenyoosha maelezo
 
wanaume wa dar utawajua tu,huwa hawaelewani na wanaume wa mikoani,na mwaka huu lazima tuoe dada zenu ikishindikana hata wake zenu mana wanawapenda watu wa mikoani,wasukuma ,wasukuma,tega wakusukumie basi,wanaume wengine mna habari za kishoga sana,au ndo nyie mulikuwa na vitengo vya kuandika wapiga kelele darasani?,
 
Wasukuma eti ni kweli ebu njooni
Leo nimepanda Basi toka Mkoa mmoja wapo wa Nyanda za Kusini naelekea Kanda ya Ziwa nikiwa na shauku kubwa kwakuwa tulipita njia ambayo nilikuwa nikiisikia sifa yake kuwa si rafiki hasa pale mkipata tatizo mnaweza kaa hata siku2 bila msaada, kufika eneo flani linaitwa Lupa wakapanda Wasukuma kama4 hivi, sasa wakaanza kupiga simu na wengine kupigiwa, mmoja alikuwa nyuma yangu, mwingine pembeni na mbele yangu, aisee hizo sauti naona walifikisha volume100%, nikaanza kujisachi labda kama nawezakuwa na ear-plug mfukoni nikakosa, nikatamani tufike sehemu network ipotee kabisa lakini wapi, inabidi kesho nikapime masikio, na safari nilio a mbaya na sipiti tena hiyo njia. Wasukuma mnaboa bhana.
 
Hahahha ukwel mtupu kama mimi nilikuwa natokea Musoma kuja Mwanza..yaan shida tupuu
 
Back
Top Bottom