Hahaaaa hata ungevaa earphones wangezizid, umenikumbusha jamaa yangu Shija alipopokea boom akaenda town kununua nguo za mitoko, anarud ananionesha nguo kila anayotoa akiweka kitandan n pajama la mchele mchele, wazee nilichekaaaa....... kila nikitaka kuacha akitoa jingne naanza mwishowe nikaanguka nikajigonga mlangoni mpk leo nina alama, Kila nikikumbuka lile tukio nacheka sanaa, Moja alinipa ninalo mpk leo la ukumbusho, Ila n watu fresh sanaaa, His was one of my best friend kwa kweli, with our better days and better campan, asaiv majukumu yanatubana, Hakuna kitu kizur kama kua na marafk wazur asee, Hapo sijazungumzia raba kama za kangi na Yale maviatu ya zaman yenye soli kubwa yenye gorofa(siyajui jina ila wahenga mtakua mnayajua), machinga Mungu anawaona