The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Kwa Tanzania hii inawezekana hawa jamáa wanaongoza Kwa ndumba, hawampeleki mgonjwa hospital lazima waanze na kienyeji Kwanza au vyote Kwa pamoja
Kuna science ya uchawi hutaiona sehemu yoyote Tanzania. Hata hao wabunge wao waoneni tu hivi hivi 90% ,ni washirikina vibaya Sana na wengi wao hawaijui milango ya nyumba za ibada.
Msukuma haamini maendeleo au kufanikiwa bila uchawi, Watz nguvu za giza tunaziamini sana ila hawa jamáa wamezidi, Siyo kuamini Tu ni sehemu Yao ya maisha ya Kila siku na wanapenda huwambii kitu.
Usishangae Kwa niñi mauaji mengi ya kikatili yako kanda hizo.
Ndugu zangu badilikeni, dunia iko mbali sana kuendelea kukumbatia mambo ya ajabu kama haya.