25000q
JF-Expert Member
- Dec 27, 2022
- 4,805
- 3,762
hacha kuitoa akili bhana mbona wewe mkirisito?Yaani dini yako ya asili ya mababu zako unaita ushirikina?kisa dini za washezi wazungu na waarabu hopeless kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hacha kuitoa akili bhana mbona wewe mkirisito?Yaani dini yako ya asili ya mababu zako unaita ushirikina?kisa dini za washezi wazungu na waarabu hopeless kabisa.
wasukuma nao!!Kwa Tanzania hii inawezekana hawa jamáa wanaongoza Kwa ndumba, hawampeleki mgonjwa hospital lazima waanze na kienyeji Kwanza au vyote Kwa pamoja
Kuna science ya uchawi hutaiona sehemu yoyote Tanzania. Hata hao wabunge wao waoneni tu hivi hivi 90% ,ni washirikina vibaya Sana na wengi wao hawaijui milango ya nyumba za ibada.
Msukuma haamini maendeleo au kufanikiwa bila uchawi, Watz nguvu za giza tunaziamini sana ila hawa jamáa wamezidi, Siyo kuamini Tu ni sehemu Yao ya maisha ya Kila siku na wanapenda huwambii kitu.
Usishangae Kwa niñi mauaji mengi ya kikatili yako kanda hizo.
Ndugu zangu badilikeni, dunia iko mbali sana kuendelea kukumbatia mambo ya ajabu kama haya.
View attachment 2407732
Kwa hiyo unataka kusema yeye anahusikaje kwenye vifo vya albino. Jaribu kuhusisha na hii mada piaWakati shetani Magufuli anataka Urais miaka kumi albino waliuawa sana. Baadae ikakoma alipo pata. Hadi leo huo ujinga haupo. Magufuli shetani kabisa
Hujui Royal family TanzaniaNi namba ngapi ?
"...wameenderea kuwa fisi wanaotishia usarama wa raia..." alisikia akisema mtangazaji wa EATVKwa Tanzania hii inawezekana hawa jamáa wanaongoza Kwa ndumba, hawampeleki mgonjwa hospital lazima waanze na kienyeji Kwanza au vyote Kwa pamoja
Kuna science ya uchawi hutaiona sehemu yoyote Tanzania. Hata hao wabunge wao waoneni tu hivi hivi 90% ,ni washirikina vibaya Sana na wengi wao hawaijui milango ya nyumba za ibada.
Msukuma haamini maendeleo au kufanikiwa bila uchawi, Watz nguvu za giza tunaziamini sana ila hawa jamáa wamezidi, Siyo kuamini Tu ni sehemu Yao ya maisha ya Kila siku na wanapenda huwambii kitu.
Usishangae Kwa niñi mauaji mengi ya kikatili yako kanda hizo.
Ndugu zangu badilikeni, dunia iko mbali sana kuendelea kukumbatia mambo ya ajabu kama haya.
View attachment 2407732
Lakini kwanini mnahangaika hivyo? Huyo DC ni katibu wa chama cha siasa kinachokaribisha fisi kwenye mikutano ya siasa, muulizeni imekuwaje fisi ambao huwa wanakula pamoja ubwabwa leo wanaua raia?Kwa Tanzania hii inawezekana hawa jamáa wanaongoza Kwa ndumba, hawampeleki mgonjwa hospital lazima waanze na kienyeji Kwanza au vyote Kwa pamoja
Kuna science ya uchawi hutaiona sehemu yoyote Tanzania. Hata hao wabunge wao waoneni tu hivi hivi 90% ,ni washirikina vibaya Sana na wengi wao hawaijui milango ya nyumba za ibada.
Msukuma haamini maendeleo au kufanikiwa bila uchawi, Watz nguvu za giza tunaziamini sana ila hawa jamáa wamezidi, Siyo kuamini Tu ni sehemu Yao ya maisha ya Kila siku na wanapenda huwambii kitu.
Usishangae Kwa niñi mauaji mengi ya kikatili yako kanda hizo.
Ndugu zangu badilikeni, dunia iko mbali sana kuendelea kukumbatia mambo ya ajabu kama haya.
View attachment 2407732
Wakati shetani Magufuli anataka Urais miaka kumi albino waliuawa sana. Baadae ikakoma alipo pata. Hadi leo huo ujinga haupo. Magufuli shetani kabisa
Ushirikina unaambatana sana na u primitive. Msukuma hata asome vipi ndagu ni lazima.
Tusimulie kidogoUkiongelea uchawi sema wasukuma Wanyantuzu mkuu nishawai kushuhudia vingi Ila swala la mtu anakufa anazikwa alafu siku ya siku anaenda kukutwa kweny nyumba ya mtu hana ulimi, anakula nyuma ya mikono badala ya mbele, nywele nyingi aaah yani Wanyantuzu bn hapana aiseh
Usiku huu na huku hakuna umemeTusimulie kidogo
Unaniambia kuwa uchawi na ushirikina ni mila na asili ya Wasukuma?!Kwahiyo kusoma ndio justification ya kuacha asili na mila zako?
Tuombe radhii wananzengoKwa Tanzania hii inawezekana hawa jamáa wanaongoza Kwa ndumba, hawampeleki mgonjwa hospital lazima waanze na kienyeji Kwanza au vyote Kwa pamoja