Wasukuma na uchawi ni pete na kidole

Wasukuma na uchawi ni pete na kidole

Si ndio asili yetu ulitaka tuwe wajinga kama ninyi mnao abudu miungu ya waarabu na wazungu...sisi tukiingia huku huwa tunazuga tu ila kwa waganga lazima twende ndio asili yetu na mababu zetu kamwe hatuwezi acha.

Karibu upate dawa kidogo.

#MaendeleoHayanaChama
wote hawa waongo ukiwasachi kwenye duroo za bishara zao kuna mahirizi mpaka kwenye chupi zao bora ya wasukuma wanajiweka wazi kuliko wanao fanya kwa siri
 
Makabila mengine wanawake ndo wachawi zaidi ila hawa jamaa wanaume wachawi ni wengi sana

Matajiri wengi wa huku ni full uchawi na ndo maana hawafikii utajiri wa kina Mo
Haya tumekuelewa.

Lakini tunaomba utueleze kabila lako ni lipi lisiloamini ushirikina, ili tuangalie kama kuna anaemfikia MO utajiri.
 
Hakuna mkoa wowote tanzania usiokuwa na mambo ya kishirikina hapa Tanzania...nimetembea kote nimejionea watu hawamumini Mungu hata kidogo...mijitu mingi ni mishirikina...

Yaani dini yako ya asili ya mababu zako unaita ushirikina?kisa dini za washezi wazungu na waarabu hopeless kabisa.
 
Kwa Tanzania hii inawezekana hawa jamáa wanaongoza Kwa ndumba, hawampeleki mgonjwa hospital lazima waanze na kienyeji Kwanza au vyote Kwa pamoja

Kuna science ya uchawi hutaiona sehemu yoyote Tanzania. Hata hao wabunge wao waoneni tu hivi hivi 90% ,ni washirikina vibaya Sana na wengi wao hawaijui milango ya nyumba za ibada.

Msukuma haamini maendeleo au kufanikiwa bila uchawi, Watz nguvu za giza tunaziamini sana ila hawa jamáa wamezidi, Siyo kuamini Tu ni sehemu Yao ya maisha ya Kila siku na wanapenda huwambii kitu.

Usishangae Kwa niñi mauaji mengi ya kikatili yako kanda hizo.

Ndugu zangu badilikeni, dunia iko mbali sana kuendelea kukumbatia mambo ya ajabu kama haya.

View attachment 2407732
Nasisi wasukuma **** tupo kwenye kundi gani hapo
 
Tuliosoma Theologia, jamii ya watu wanaoamini kitu cha namna hii ni very potential kwa sisi watumishi wa Mungu katika wining soul.
Mtu wa namna hii ana a,b,c kuhusu ulimwengu wa roho hivyo ni vyepesi Sana Kumwamini Mungu
 
Wasukuma wote ninaowafahamu wamechanjwa chale mikononi shingoni vifuani wengine naskia mpaka kwenye ulimiz. Kuchanjwa chale tu ni ushirikina hivyo hawa jamaa ni kweli mambo ya ulozi wanayapenda sana wanaita ndagu. Kila wanalofanya lazma waloge
 
Wasukuma, kuna kitu kinaitwa ukango.

Ukango ni mila ya kumfanyia watoto waiozaliwa mapacha, yaani mwanamke wa kisukuma akizaa mapacha wanaenda kumfanyia mila ambayo ndio inaitwa ukango, hapo atakuaja mganga kisha atachukuliwa ng'ombe atazibwa pumzi huyo ng'ombe mpaka afe kisha hufanyiwa mambo ya kimila kisha mganga huchukua pesa yake husepa.

Kuna chagulaga, mfano kuna sehemu kuna harusi zya kisukuma sasa wale mabinti wasioolewa hutembea peke yao , kuna vijana wa kiume wanenda kuwachagua wale mabinti kwa ajili ya kuzungumza nao ili wawaowe kwa hiyo hapo ujanja wako tu bint anaongea na huyu kisha anakuja mwingine anaongea nae kisha anakuja mwingine ,sasa ikitokea binti hajapata nwanamme wa kuongea nae anaenda kwa mganga kusafisha nyota na ikitokea pia kijana hajapata mwanamke wa kuongoa nae pia anakwenda kwa mganga ,

Kila mji wa kisukuma una mganga wake na wanalogana kuanzia kwenye kilimo mifugo nk
Umekaa nao inaonyesha hivyi hawajamaa wakoje jamani
 
Back
Top Bottom