Wasukuma na uchawi ni pete na kidole

Zama za mwalimu ukishinda elimu ya msingi unapelekwa shule yoyote ili mchanganyike kikabila. Hapo ndipo nilijua tabia za wasukuma. Utasikia kwenu umeaga? Sikuelewa mpaka nikaeleweshwa ni kutengenezwa kishirikina ila mtu asicheze na nyota yako. Utasikia "huniwezi kwa lolote".
 
Hakuna mkoa wowote tanzania usiokuwa na mambo ya kishirikina hapa Tanzania...nimetembea kote nimejionea watu hawamumini Mungu hata kidogo...mijitu mingi ni mishirikina...
 
Hakuna mkoa wowote tanzania usiokuwa na mambo ya kishirikina hapa Tanzania...nimetembea kote nimejionea watu hawamumini Mungu hata kidogo...mijitu mingi ni mishirikina...
Mkoa kweli ila rate au idadi ndio tunaanza kutafutana
 

Hiii kinehee !??😏

#Uchawi hauna kabila.
 
Kipindi nipo chuoni kulikuwa na Mwalimu mmoja Msukuma, huyo alikuwa anapotaka kuandika ubaoni ni lazima mkono wake wa kushoto aupeleke mbeleni (anashika kwenye mbupu zake) huku akiandika ubaini, hiki kitendo mimi kilinishangaza sana na nikawaambia hali hiyo wenzangu, jamaa mmoja akaniambia huyo Mwalimu ni lazima anayo hirizi kaiweka huko mbeleni na huwa anaifinya ndipo aanze kuandika,--na anashuka materials kutoka kichwani sio mchezo, haangalii notes popote.

Kwa mambo hayo siwashangai wasukuma.
 
Washirikina sana
 
Wasukuma, kuna kitu kinaitwa ukango.

Ukango ni mila ya kumfanyia watoto waiozaliwa mapacha, yaani mwanamke wa kisukuma akizaa mapacha wanaenda kumfanyia mila ambayo ndio inaitwa ukango, hapo atakuaja mganga kisha atachukuliwa ng'ombe atazibwa pumzi huyo ng'ombe mpaka afe kisha hufanyiwa mambo ya kimila kisha mganga huchukua pesa yake husepa.

Kuna chagulaga, mfano kuna sehemu kuna harusi zya kisukuma sasa wale mabinti wasioolewa hutembea peke yao , kuna vijana wa kiume wanenda kuwachagua wale mabinti kwa ajili ya kuzungumza nao ili wawaowe kwa hiyo hapo ujanja wako tu bint anaongea na huyu kisha anakuja mwingine anaongea nae kisha anakuja mwingine ,sasa ikitokea binti hajapata nwanamme wa kuongea nae anaenda kwa mganga kusafisha nyota na ikitokea pia kijana hajapata mwanamke wa kuongoa nae pia anakwenda kwa mganga ,

Kila mji wa kisukuma una mganga wake na wanalogana kuanzia kwenye kilimo mifugo nk
 
Aisee mbona hamuelezei makabila yenu ?
 
Makabila mengine wanawake ndo wachawi zaidi ila hawa jamaa wanaume wachawi ni wengi sana

Matajiri wengi wa huku ni full uchawi na ndo maana hawafikii utajiri wa kina Mo
Kabila lenu yupo utajiri anayemfikia Mo ?
 
Wahindi wao hawaonekani... Wanaonekana wasukuma tu...
 
Fisi noma.
Uchawi wa fisi nq mamba ni kiboko pande hizo
 
Tena kupitia jina hili hili hata siyo lako tunanuia tunakutumia popo bawa ndani ya siku 7 unaliwa
 
Makabila mengine wanawake ndo wachawi zaidi ila hawa jamaa wanaume wachawi ni wengi sana

Matajiri wengi wa huku ni full uchawi na ndo maana hawafikii utajiri wa kina Mo
Wewe umesha fikia utajiri wa Mo? Maana usiseme seme tu kufata mkumbo, wewe usiyeroga umefikia utajiri wa Mo?
 
Sasa wanavyo rogana kuanzia kwenye kilimo mpaka mifugo na nk uwa wanapata faida gani?
 
kweli wasukuma ni wachawi hilo alipingiki akini chunguza uchapaji wao wakazi tz hakuna kabila linalo fikia kilimo ufugaji hawa jamaa wanapiga kazi usipime kama uchawi zama hizi hata boda boda anatumia ndumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…