wote hawa waongo ukiwasachi kwenye duroo za bishara zao kuna mahirizi mpaka kwenye chupi zao bora ya wasukuma wanajiweka wazi kuliko wanao fanya kwa siriSi ndio asili yetu ulitaka tuwe wajinga kama ninyi mnao abudu miungu ya waarabu na wazungu...sisi tukiingia huku huwa tunazuga tu ila kwa waganga lazima twende ndio asili yetu na mababu zetu kamwe hatuwezi acha.
Karibu upate dawa kidogo.
#MaendeleoHayanaChama
Nipo huku hili jambo nalishangaa Kila siku nikiona mazizi ya ng'ombeNgombe zinalala nje kwenye kauzio tuu ila haziliwi na fisi usiku
Msukuma kila analofanya lazima ahusishe madawa,
Haya tumekuelewa.Makabila mengine wanawake ndo wachawi zaidi ila hawa jamaa wanaume wachawi ni wengi sana
Matajiri wengi wa huku ni full uchawi na ndo maana hawafikii utajiri wa kina Mo
Kwamba ili iwe sawa, inatakiwa ng'ombe ziibiwe au kuliwa na fisi?Ngombe zinalala nje kwenye kauzio tuu ila haziliwi na fisi usiku
Msukuma kila analofanya lazima ahusishe madawa,
Hakuna mkoa wowote tanzania usiokuwa na mambo ya kishirikina hapa Tanzania...nimetembea kote nimejionea watu hawamumini Mungu hata kidogo...mijitu mingi ni mishirikina...
Hiii kinehee !??[emoji57]
#Uchawi hauna kabila.
Nasisi wasukuma **** tupo kwenye kundi gani hapoKwa Tanzania hii inawezekana hawa jamáa wanaongoza Kwa ndumba, hawampeleki mgonjwa hospital lazima waanze na kienyeji Kwanza au vyote Kwa pamoja
Kuna science ya uchawi hutaiona sehemu yoyote Tanzania. Hata hao wabunge wao waoneni tu hivi hivi 90% ,ni washirikina vibaya Sana na wengi wao hawaijui milango ya nyumba za ibada.
Msukuma haamini maendeleo au kufanikiwa bila uchawi, Watz nguvu za giza tunaziamini sana ila hawa jamáa wamezidi, Siyo kuamini Tu ni sehemu Yao ya maisha ya Kila siku na wanapenda huwambii kitu.
Usishangae Kwa niñi mauaji mengi ya kikatili yako kanda hizo.
Ndugu zangu badilikeni, dunia iko mbali sana kuendelea kukumbatia mambo ya ajabu kama haya.
View attachment 2407732
Wasukuma wote ni wachawi sio wanawake tu, kuishi nao taabu kweli hakika Mungu atutangulie
Tuliosoma Theologia, jamii ya watu wanaoamini kitu cha namna hii ni very potential kwa sisi watumishi wa Mungu katika wining soul.Kwa Tanzania hii inawezekana hawa jamáa wanaongoza Kwa ndumba, hawampeleki mgonjwa hospital lazima waanze na kienyeji Kwanza au vyote Kwa pamoja
Kuna science ya uchawi hutaiona sehemu yoyote Tanzania. Hata hao wabunge wao waoneni tu hivi hivi 90% ,ni washirikina vibaya Sana na wengi wao hawaijui milango ya nyumba za ibada.
Msukuma haamini maendeleo au kufanikiwa bila uchawi, Watz nguvu za giza tunaziamini sana ila hawa jamáa wamezidi, Siyo kuamini Tu ni sehemu Yao ya maisha ya Kila siku na wanapenda huwambii kitu.
Usishangae Kwa niñi mauaji mengi ya kikatili yako kanda hizo.
Ndugu zangu badilikeni, dunia iko mbali sana kuendelea kukumbatia mambo ya ajabu kama haya.
View attachment 2407732
Ushirikina unaambatana sana na u primitive. Msukuma hata asome vipi ndagu ni lazima.Baada ya kukaririshwa dini za washenzi wazungu na waarabu ndio unajiona wa maana nyanoko.
Umekaa nao inaonyesha hivyi hawajamaa wakoje jamaniWasukuma, kuna kitu kinaitwa ukango.
Ukango ni mila ya kumfanyia watoto waiozaliwa mapacha, yaani mwanamke wa kisukuma akizaa mapacha wanaenda kumfanyia mila ambayo ndio inaitwa ukango, hapo atakuaja mganga kisha atachukuliwa ng'ombe atazibwa pumzi huyo ng'ombe mpaka afe kisha hufanyiwa mambo ya kimila kisha mganga huchukua pesa yake husepa.
Kuna chagulaga, mfano kuna sehemu kuna harusi zya kisukuma sasa wale mabinti wasioolewa hutembea peke yao , kuna vijana wa kiume wanenda kuwachagua wale mabinti kwa ajili ya kuzungumza nao ili wawaowe kwa hiyo hapo ujanja wako tu bint anaongea na huyu kisha anakuja mwingine anaongea nae kisha anakuja mwingine ,sasa ikitokea binti hajapata nwanamme wa kuongea nae anaenda kwa mganga kusafisha nyota na ikitokea pia kijana hajapata mwanamke wa kuongoa nae pia anakwenda kwa mganga ,
Kila mji wa kisukuma una mganga wake na wanalogana kuanzia kwenye kilimo mifugo nk
MONSio tajiri namba Moja TanzaniaKabila lenu yupo utajiri anayemfikia Mo ?
Hii nimesikia sana na asubuhi wanafanya uchawi Huoni. unyayo wa kwato hata mmojaNgombe zinalala nje kwenye kauzio tuu ila haziliwi na fisi usiku
Msukuma kila analofanya lazima ahusishe madawa,
Mo sio tajiri Tanzania hujui familia za wanaßiasa wakubwaWewe umesha fikia utajiri wa Mo? Maana usiseme seme tu kufata mkumbo, wewe usiyeroga umefikia utajiri wa Mo?
Jipendekeze nasikia wanawazawadia wanaowafundisha kutumia smartphones na InternetNipo huku hili jambo nalishangaa Kila siku nikiona mazizi ya ng'ombe
Narudia tena mo sio tajiriHaya tumekuelewa.
Lakini tunaomba utueleze kabila lako ni lipi lisiloamini ushirikina, ili tuangalie kama kuna anaemfikia MO utajiri.
Ni namba ngapi ?MONSio tajiri namba Moja Tanzania