🤨🤨 sasa sometimes we miss that.. ni mgumu kuongea huyu mkaka sijui ni mzito sijui kujifanya tuWewe ndiyo wale wanaopenda kuchat muda wote na kuambiwa "Bebi kula Sasa utapata vidonda vya Tumbo!"
Huyo ndiyo Mume wako, hutaki nenda Kwa wale wanaokua na muda wa kukutumia messages saa 24, kuongea na Simu masaa 2, ila ndiyo hakuna Ndoa.
Chagua.
Alinitongozapoo 🥹Alikutongoza au ulimtongoza??
Nimeishia kusoma hapa kumbe ni fimbo ya mbali4: Analazimisha SANA NIkaishi nae ( ni long distance relationship) while hajanioa wala kunitolea mahali.. namueleza mimi nafanya kazi nikiacha inakuaje majibu yake wewe njoo tutafuta ingine
Ndo wale wa bebi usisahau kumeza mate😅Wewe ndiyo wale wanaopenda kuchat muda wote na kuambiwa "Bebi kula Sasa utapata vidonda vya Tumbo!"
Huyo ndiyo Mume wako, hutaki nenda Kwa wale wanaokua na muda wa kukutumia messages saa 24, kuongea na Simu masaa 2, ila ndiyo hakuna Ndoa.
Chagua.
Wewe unaonekana kiherehere mwache huyo ngosha utamtesa bureNo reform no election
Habari zenu wana jf… hongereni kwa ibada kwa mlioenda na wengineo ambao mpo sehemu za starehe nawasalimia
Nataka nijue wasukuma ni watu wa haina hii au huyu wangu nimemuokota tu
Nipo na huyu mkaka almost 9 months lakini ila Naona kama hatuna chemistry au mimi ndio nina mawenge
1: Sio muongeaji yaani ukimwambia kitu anakujibu Sawa nimekuelewa😕 yaani unajitumisha sms ndefu halafu ni ile labda inahitaji majibizano yeye anajibu Sawa nimekuelewa
Ukimuuliza maana ake nini anacopy lile swali ulomuuliza analirudia kwako
Na ukilalamika utasikia anakwambia “umeanza” yaani hapo kamaliza aendelei 🤣
2: Hanaga story mpk wewe uanzishe kwaiyo mnaweza kujikuta ni hello, hello. Mzima .. mzima sijui wewe basi usiku mwema..
3: Kuongea na simu hapendi yaani ukiongea nae ni sekunde tena mara chache sana.. namuuliza una shida gani anasema I hate calls 😳😳 hapa ananishangaza
4: Analazimisha SANA NIkaishi nae ( ni long distance relationship) while hajanioa wala kunitolea mahali.. namueleza mimi nafanya kazi nikiacha inakuaje majibu yake wewe njoo tutafuta ingine
Kinachonifanya nibaki nae ni kwa kuwa yaani ni mpole, hawezi kuniongelesha vibay labda kunikejeri.. ana ule upendo mnapokuwa pamoja ana kujali.. kiufupi ana ile kukuthamini na kujishusha kidogo tu utasikia am sorry 😢
Ukweli wa Mungu huyu ndio mwanaume naempenda kutoka Rohoni ila mambo yake yanafanyaga nikaage mbali nae kila siku anatoa ahadi atabadilika lakini Hakuna mabadiliko
Mpk najiuliza kwani wasukuma wapo hivyo au huyu wangu ana matatizo yake
Ila nampenda Msukuma wangu sana tu
Inaua nyoka bhn tulia tunalishughulikia hili alihamishwa kikazi tulikuwa woteNimeishia kusoma hapa kumbe ni fimbo ya mbali
Kukumbushwa ni muhimu dearNdo wale wa bebi usisahua kumeza mate😅
Ngosha haachwi mkuu labdaa aniache yeyeWewe unaonekana kiherehere mwache huyo ngosha utamtesa bure
PoleniInaua nyoka bhn tulia tunalishughulikia hili alihamishwa kikazi tulikuwa wote
Vipi anapokutomba na kumwagia ndani, huwa anakufikisha kileleni?No reform no election
Habari zenu wana jf… hongereni kwa ibada kwa mlioenda na wengineo ambao mpo sehemu za starehe nawasalimia
Nataka nijue wasukuma ni watu wa haina hii au huyu wangu nimemuokota tu
Nipo na huyu mkaka almost 9 months lakini ila Naona kama hatuna chemistry au mimi ndio nina mawenge
1: Sio muongeaji yaani ukimwambia kitu anakujibu Sawa nimekuelewa😕 yaani unajitumisha sms ndefu halafu ni ile labda inahitaji majibizano yeye anajibu Sawa nimekuelewa
Ukimuuliza maana ake nini anacopy lile swali ulomuuliza analirudia kwako
Na ukilalamika utasikia anakwambia “umeanza” yaani hapo kamaliza aendelei 🤣
2: Hanaga story mpk wewe uanzishe kwaiyo mnaweza kujikuta ni hello, hello. Mzima .. mzima sijui wewe basi usiku mwema..
3: Kuongea na simu hapendi yaani ukiongea nae ni sekunde tena mara chache sana.. namuuliza una shida gani anasema I hate calls 😳😳 hapa ananishangaza
4: Analazimisha SANA NIkaishi nae ( ni long distance relationship) while hajanioa wala kunitolea mahali.. namueleza mimi nafanya kazi nikiacha inakuaje majibu yake wewe njoo tutafuta ingine
Kinachonifanya nibaki nae ni kwa kuwa yaani ni mpole, hawezi kuniongelesha vibay labda kunikejeri.. ana ule upendo mnapokuwa pamoja ana kujali.. kiufupi ana ile kukuthamini na kujishusha kidogo tu utasikia am sorry 😢
Ukweli wa Mungu huyu ndio mwanaume naempenda kutoka Rohoni ila mambo yake yanafanyaga nikaage mbali nae kila siku anatoa ahadi atabadilika lakini Hakuna mabadiliko
Mpk najiuliza kwani wasukuma wapo hivyo au huyu wangu ana matatizo yake
Ila nampenda Msukuma wangu sana tu
Duuh mbona sijalizungumza hili mkuu wewe umelitolea wapiVipi anapokutomba na kumwagia ndani, huwa anakufikisha kileleni?
Kumbe na wewe msukuma doohVipi anapokutomba na kumwagia ndani, huwa anakufikisha kileleni?
Alikutongazaje mtu mwenye hizo tabia, au alikukula ndo akaanza nyodo??Alinitongozapoo 🥹
Ni kweli ila inapendeza mkawa na kaurafiki ndani yenuUnapenda mwanaume atumie muda mwingi kuchat badala afanye kazi na kufikiria future yenu.
Mwanaume wa mameseji meeengi kwa siku hanaga uanaume ndani yake mdogo wangu, kama mwanaume anakujali na hana mambo mengi ishi naye, (mzingatie) mwanaume anapenda akusalimie asubuhi na jioni tu pale mnapotaka kulala.
Messages, calls, salam nyingi, stories zingi zinakera kama hujui.
Huyo ndio yuko hivyo since day zero tunajuanaAlikutongazaje mtu mwenye hizo tabia, au alikukula ndo akaanza nyodo??