Wasukuma ndivyo mlivyo au huyu ananiigizia

Ni kweli ila inapendeza mkawa na kaurafiki ndani yenu
Urafiki sio msgs na calls za kila wakati, mwanaume anayejielewa hawezi andika msg page nzima ikaisha, inaonekana unapenda ukiandika msg page 2 unataka uone majibu yake page 3🤣🤣🤣🤣 jaribu kutulia usiwe na maneno meeengi kwenye mahusiano na akati alikufuata mwenyewe au labda wewe ndo ulimtongoza?
 
😂😂 wewe bhn mahusiano hayatakiwi kupoa sana na viumbeaumbea viwepo
 
Urafiki sio msgs na calls za kila wakati, mwanaume anayejielewa hawezi andika msg page nzima ikaisha, inaonekana unapenda ukiandika msg page 2 unataka uone majibu yake page 3🤣🤣🤣🤣 jaribu kutulia usiwe na maneno meeengi kwenye mahusiano na akati alikufuata mwenyewe au labda wewe ndo ulimtongoza?
Huyu kuna kanamna alijitongozesha si bure.
 
Huyo ndio yuko hivyo since day zero tunajuana
Sasa kama tangu mmekutana yupo hivyo na ulimkubalia kwa jinsi alivyo, unacholalamika ni nini?

Kama mtu umeshaamua kuwa nae, hayo ni mapungufu madogo sana ya kumuelewa na kumchukulia kama alivyo. Maana huenda hata wewe una mapungufu yako nae anayavumilia wala hajaja kulalamika jf. Infact mwanaume wa kweli hatakiwi kuwa mtu wa maneno mengi.

Sema kwa ninavyowajua akili zenu wanawake, hapo unaeza shangaa ukapata kijamaa chenye perepeche nyiingi, (au pengine umeshapata), hakina kazi kutwa kukuchatisha msg za uongo na vi emoji viingi, basi unaanza kumuona msukuma kama mshamba flani ambae hajui kuongea, mwisho unamuacha 😐
 
Alikutongizaje hadi ukaingia kingi mkuu?
Kua mkweli au limpiga swaga??
Heee kwani kutongoza wanatongozaje 😆😆😆
Kwanza alinitongoza kizungu sio story nyingi

“ Nimekupenda kama hutojali naomba tuanzishe safari ya mahusiano” and before tulikuwa marafiki for 1 month akiniita mdogo ake and so on
 
Sasa kama tangu mmekutana yupo hivyo na ulimkubalia kwa jinsi alivyo, unacholalamika ni nini?

Kama mtu umeshaamua kuwa nae, hayo ni mapungufu madogo sana ya kumuelewa na kumchukulia kama alivyo. Maana huenda hata wewe una mapungufu yako nae anayavumilia wala hajaja kulalamika jf. Infact mwanaume wa kweli hatakiwi kuwa mtu wa maneno mengi.

Sema kwa ninavyowajua akili zenu wanawake, hapo unaeza shangaa ukapata kijamaa chenye perepeche nyiingi, (au pengine umeshapata), hakina kazi kutwa kukuchatisha msg za uongo na vi emoji viingi, basi unaanza kumuona msukuma kama mshamba flani ambae hajui kuongea, mwisho unamuacha 😐
Kuachwa aachwi labda break kidogo

Anyway nimechukulia kama ndivyo alivyo
 
Back
Top Bottom