- Thread starter
- #61
Wasukuma hao labda wa ndani ndani.. mtu ambae amekaa abroad 5 yrs anakutana na kila mwanamke halafu aje bongo apapatikie pisi kali.. kiufupi hata miMi wakati nakutana nae nilifikiri atakuwa ni wale wasukuma wa shinyanga ila huyu anashindaga china mkuu sio hao uwasemao🤣🤣🤣Nampa ukweli, ajitathmini kwa jinsi wasukuma wanavyosifika kwakua mabwege kwenye mapenzi, wanahonga hovyo na kutetereka kwa pisi kali halafu mleta uzi anawalalamikia basi yeye ndo tatizo.