Waswahili bwana yaani Treni ya SGR Dar hadi Moro ni masaa 2 na dakika 20 mnafurahi na kushangilia!

Kwanini walikuwa wanaongopa kuhusu utendaji kazi wa hiyo treni na walikuwa wanajua ipo siku treni zitaanza kazi na tutajionea madudu yao. Si wangesema tu tangu mwanzo huko kuwa treni itakuwa sio ya mwendo kasi na zaidi itakuwa kwa sababu ya kusafirisha mizigo.


Tumepigwaaa!
 
Just the beginning, let's wait and see the final outcome !
 
Tumepiga hatua kubwa sana maana kutaka leo hii nione treni ya Tanzania iwe sawa na Gauteng tren sio kweli wacha tuwape moyo hata ikitumia masaa kumi ni ya kwetu...
 
Embu tuipe muda hiyo treni ifanye kazi kwa muda kabla ya kupima ufanisi wake, hii kosoa kosoa nayo inavunja moyo watendaji.......wabongo tupunguze ujuaji mwingi usio na maana.
 
Mimi kutoka Dar hadi Moro kwa gari natumia masaa mawili tu. Ina maana ninafika mapema kuliko treni ya umeme wa bongo. Kwanza nasikia umeme ulikatika katikati ya safari. Kazi kwelikweli
Kwa speed ya ngapi ,acha kutudanganya hapa,sana sana utatumia matatu na hapo hujafuata speed limit ya barabarani
 
Hakuna basi la Dar morogoro linatumia masaa mawili uongo minimum masaa matano
Kabisa ni masaa matano moro to dar mnakua mmefika shekilango ,kutokea dar moro yanaweza kua manne na nusu sababu moro hakuna foleni
 
Ndo umeandika nini hapa au ume lewa?

Likud shughulikia huyu mtu
 
Mbona unahasira sana mkuu, tupe utabiri wa jumamosi na ijumaa
Huwa mnapenda sana Kukimbilia kuniona Mkorofi pale nikiwajibu Wanaonichokoza na Kunidhalilisha kwa Matusi ya kila aina hapa JamiiForums ila huwa mnanyamaza na Kufurahia pale Wao wakianza kufanya hivyo Kwangu. Wanafiki na Wapumbavu wakubwa nyie.

Kuhusu hayo Matokeo ya Ijumaa na Jumamosi muulize Mumeo au Basha wako ndiyo watakuwa Wanayajua zaidi kwani ni Magoli yale yale tu ambayo huwa anakufunga kila Siku mkiwa 6 kwa 6.
 
Jamani si tumeambiwa treni linakimbia 160kmph?
Umbali Dar to Moro ni km 300, hapo hamuwezi culculate?
Mlitaka lipae badala ya mwendo wake maxmum?
WaTz tuna ngebe sana.
Huna Akili period.
 
Duuh aisee hapo hakuna tofauti kubwa na mtu anaye drive Dar to Moro.......
kama ni hivyo mpango una walakini
 
Wàtu wafupi wanene mnahasira, msalimie mmeo aliye kupa utabiri ukauleta katika jukwaa.
Jitaidi uniheshimu baba yako mlezi
 
Duuh aisee hapo hakuna tofauti kubwa na mtu anaye drive Dar to Moro.......
kama ni hivyo mpango una walakini
Kwa anaye drive STM nitakubaliana na wewe ila kama ni mtumiaji wa gari za mfumo wa T *** DZZ isio jamii ya SUV kama prado au VX V8 wewe Dar kwenda Moro lazma utembee mwendo wa kobe kujihadhari n tochi masaa 6 njiani ndio unafika Moro. Ili utumie masaa mawili basi safari uianze saa 3 au 4 usiku ili ufike Moro saa 6.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…