Waswahili bwana yaani Treni ya SGR Dar hadi Moro ni masaa 2 na dakika 20 mnafurahi na kushangilia!

Kiswahili kwako kigumu. Labda pia sio mtumiaji sana wa barabara. Barabara ya Dar Moro imejaa malori mwanzo mwisho ndio yanasababisha kutumia gari binafsi au bus ikuchukue masaa zaidi ya manne. Anaekwambia sasa hivi anaenda Moro 2hrs ni muongo.
kama hutumii STM au STL kufika Moro kwa masaa mawili ni ndoto. Utapigwa fine hadi uchakae 😂
 
Kwa umbali huo muda ulitakiwa uwe ni dakika 60 au 75 tu kama ambavyo inafanyika katika Mataifa mengine makubwa ya watu wenye akili na yaliyoendelea.

Yaani Dar hadi Moro zimetumika Saa 2 na dakika 20 halafu mazuzu tokea jana na leo inashangilia tu wakati kwa wenye hizo Treni za SGR katika Mataifa mengine wanaotumia Saa 3 tu kwa umbali wa mfano wa kutoka Dar es Salaam hadi Singida wanatucheka na kutudharau mno.

GENTAMYCINE nikisikia au niliambiwa Treni ya SGR itatumia saa 2 na dakika 30 au hata na dakika 45 kidogo nitaona imefanikiwa ila hili la kutoka Dar hadi Moro kutumia Saa 2 na dakika 20 naona ni Kufeli kwa Mradi na Mpango kwa Maendeleo ya Taifa, Muda na Uimarishwaji wa Uchumi wa Tanzania na Watanzania.

Haya Team Kusifu Upuuzi na Wanafiki karibuni sana katika Kunipinga ili mlipwe Buku Saba Saba zenu, mlambe Uteuzi na Maisha yaendelee ila wenye Akili Kubwa na tusiopenda Upuuzi na Unafiki ndiyo tumeshafunguka.
Zile ni bullet train tofautisha hapo
 
Yanga 4 Belluzdao O nakukumbusha tu
 
Unapojaribu kitu then unatakiwa kufanya majaribio katika viwango vya juu kushinda yale matarajio. Mfano tunataka kutest train ya mwendo kasi, tumetarajia kutumia dakika 75 kutoka Dar hadi Moro, then kwenye testing inatakiwa train ifike Morogoro kati ya dakika 45hadi 65 ahead of the expected time ili tuseme kweli malengo yetu yalikuwa ni kutest speed na tumefanikiwa sasa hapo hata ukiwaambia raia kuwa tutawafikisha Morogoro kutoka Dar kwa dakika 75 wanainchi watayaona hayo matokeo ya kweli ya kufika Morogoro mapema hivyo.
Hapa tunasogoa bila ya kupiga hesabu halisia ujue!
Max speed ya train si ni 160kmph?
Toka Dar to Moro si ni 300km?
Itamalizaje mwendo kwa dk75?
Nadhani watu tuwaza Airbus sasa!
 
Mtoa maada unaifahamu designed speed? Na unafahamu chochote kwa nini designed speed imewekwa hiyo value?
 
Hii nchi bana yani tabu sanaaaa aiseeee ilitakiwa iwe lisaa limoja tu
 
Kwa umbali huo muda ulitakiwa uwe ni dakika 60 au 75 tu kama ambavyo inafanyika katika Mataifa mengine makubwa ya watu wenye akili na yaliyoendelea.

Yaani Dar hadi Moro zimetumika Saa 2 na dakika 20 halafu mazuzu tokea jana na leo inashangilia tu wakati kwa wenye hizo Treni za SGR katika Mataifa mengine wanaotumia Saa 3 tu kwa umbali wa mfano wa kutoka Dar es Salaam hadi Singida wanatucheka na kutudharau mno.

GENTAMYCINE nikisikia au niliambiwa Treni ya SGR itatumia saa 2 na dakika 30 au hata na dakika 45 kidogo nitaona imefanikiwa ila hili la kutoka Dar hadi Moro kutumia Saa 2 na dakika 20 naona ni Kufeli kwa Mradi na Mpango kwa Maendeleo ya Taifa, Muda na Uimarishwaji wa Uchumi wa Tanzania na Watanzania.

Haya Team Kusifu Upuuzi na Wanafiki karibuni sana katika Kunipinga ili mlipwe Buku Saba Saba zenu, mlambe Uteuzi na Maisha yaendelee ila wenye Akili Kubwa na tusiopenda Upuuzi na Unafiki ndiyo tumeshafunguka.
'Snail-speed Train.'
 
Back
Top Bottom