Waswahili bwana yaani Treni ya SGR Dar hadi Moro ni masaa 2 na dakika 20 mnafurahi na kushangilia!

Kiswahili kwako kigumu. Labda pia sio mtumiaji sana wa barabara. Barabara ya Dar Moro imejaa malori mwanzo mwisho ndio yanasababisha kutumia gari binafsi au bus ikuchukue masaa zaidi ya manne. Anaekwambia sasa hivi anaenda Moro 2hrs ni muongo.
kama hutumii STM au STL kufika Moro kwa masaa mawili ni ndoto. Utapigwa fine hadi uchakae 😂
 
Zile ni bullet train tofautisha hapo
 
Yanga 4 Belluzdao O nakukumbusha tu
 
Hapa tunasogoa bila ya kupiga hesabu halisia ujue!
Max speed ya train si ni 160kmph?
Toka Dar to Moro si ni 300km?
Itamalizaje mwendo kwa dk75?
Nadhani watu tuwaza Airbus sasa!
 
Mtoa maada unaifahamu designed speed? Na unafahamu chochote kwa nini designed speed imewekwa hiyo value?
 
Hii nchi bana yani tabu sanaaaa aiseeee ilitakiwa iwe lisaa limoja tu
 
'Snail-speed Train.'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…