Waswahili wanatabia ya kubeza maendeleo ya watu , utasikia gari lenyewe / nyumba ya mkopo

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
2,682
Reaction score
6,638
Waswahili huwa hawa appreciate / kupongeza hatua ya mtu ya maendeleo anayopiga utasikia tu wanakosoa nyumba/ gari yenyewe ya mkopo .

ingekuwa kukopa ni rahisi kila mtu angekopa .ukiona mtu bank imemuamini kumkopesha ujue huyo anasifa za kukopesheka , anayesema hivyo yeye hata sifa ya kukopa laki moja hana
 
Hongera mkuu kwa kujenga na kununua gari
 
Very true tuna roho za wivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…