Waswahili wanatabia ya kubeza maendeleo ya watu , utasikia gari lenyewe / nyumba ya mkopo

Waswahili wanatabia ya kubeza maendeleo ya watu , utasikia gari lenyewe / nyumba ya mkopo

Mambo ya kawaida tuu,waswahili wanasema acha waseme usiku watalala, wasiposema stress watatolea wapi 😁
 
(a)Ujinga.......
(b)Maradhi......
(c)Umaskini.....Hupelekea Kuwa Na Wivu,,,Chuki,,,Husda Na Jiroho Baya.....
Hii Iko sahihi kabisa , ukiwa una uhakika na mahitaji yako ni shida sana. Inatakiwa unaingia sokoni wanakuambia kuwa kienyeji jogoo 35k unaagiza uwekee kuku wanne unafungua 150k unamwambia muuzaji kuwa iyo ten itakusaidia bila kuanza kupigizana kelele kuwa punguza Bei ya kuku.
Huwezi ukawa na husuda kijicho.
Hujasoma unazo hela unaumia kuzidiwa elimu na jirani yako unabakia unajifariji kuwa Ila namzidi hela, ivi wewe na hela zako unataka ulinganishe na maarifa kweli.
Unaweza ukaumwa ukafa Mana hela zako hazitokutibu
 
Back
Top Bottom