Waswahili wanatabia ya kubeza maendeleo ya watu , utasikia gari lenyewe / nyumba ya mkopo

Ndomana unakuta watu wenye uwezo,kipato fulani huwa wanakaa sehemu moja
Maana hakuna kushaangaana wala kuulizana,kufatiliana maisha

Ova
Wenye tabia hizo wapo chanika , mbezi beach au kawe hauwakuti
 
Asili ya mwanadamu ni wivu na roho mbaya,hata ndugu yako uliyezaliwa naye tumbo moja usimuamini
Ndio mana kuwa na kinyume na hizo tabia inabidi ufanye kazi uukatae ubinadamu ili mtu ambaye maandiko.yanataka uwe.
Ndio mana ukiwa na tabia kinyume na hizo unapata thawabu mbinguni. Unakuta umefanya kazi kweli ya kutoa magugu kwenye mawazo yako na umepalilia ngano zikaota zikafunika magugu na yasiweze kuota Mana zilifunika kwa kivuli magugu yalipojaribu kuota
 
Mkuu upo
 
(a)Ujinga.......
(b)Maradhi......
(c)Umaskini.....Hupelekea Kuwa Na Wivu,,,Chuki,,,Husda Na Jiroho Baya.....
 
Back
Top Bottom