Wataalam wa bata ni wapi pa kujiachia weekend hii Dar es Salaam?

Kuna mtu alinidokeza wenye tatizo la afya ya akili hujuana, nimeamini, tuombe wote msaada

Upweke pia unakusumbua. Jifanyie self assessment utakubali yote niliyokwambia.

Btw nishapata airbnb ya usd 25. Baadae nitakuwa masaki nakula bia, karibu.
 
Sio kama wewe ndie unasumbuka na upweke hadi kutupigia kelele kwa laki 3 tu [emoji1787]

Ukiwa na milioni si utatufungia maspika kabisa.
Nimefanya kazi wiki nzima.

Nimeamua weekend nipumzike.

Nimetenga bajeti yangu ya laki 3.

Kwa bata langu inanitosha.

Anatokea mtu anaanza kunishambulia.

Anasema hiyo pesa hainitoshi.

Alafu huyo binti anaamini yupo sawa sawa kichwani mwake.
 
Leo mbona utasema yote bado hujasema [emoji23][emoji23][emoji23]

Pesa haikutoshi au mbwembwe zako ndio zimekuponza, nataka hivi, sitaki vile kwa laki laki tatu [emoji15][emoji23][emoji38]
 
Bajeti bei gani? How much class is classic to you?

Nenda msasani China Garden property chukua apartment/airbnb. Daka uber/bolt ikupeleke 1245 masaki for bata, usivae misendo sijui minini nini hutapewa access ya kuingia.
Nakumbuka kimbwanga cha mwisho mwisho cha lemutuz ,alidai yeye haendi hoteli za Uswekeni. Mara, mtu anapita anauza visu, mara anauza sumu ya panya, mara paka anapita miguuni!!
Kama fedha inaruhusu, nenda unapopatamani!
 
Leo mbona utasema yote bado hujasema [emoji23][emoji23][emoji23]

Pesa haikutoshi au mbwembwe zako ndio zimekuponza, nataka hivi, sitaki vile kwa laki laki tatu [emoji15][emoji23][emoji38]
Sikia kienyeji girl, mtu kutoka kwenda kula bata sio mbwembwe.
Mtu kuwa na choice ale bata wapi sio mbwembwe.
Laki 3 ni hela inayotosha sana kula bata na unainjoi fresh kabisa.
Sitoki kwenda kushindana natoka kwa ajili ya kuburudika nafsi kisha Jumatatu narudi kwenye harakati za utafutaji.
Hapa tatizo sio mimi tatizo ni wewe. Haupo sawa kichwani. Umejaa upepo na haujui hata kwa nini. Mental illness
 
Povuuuuuuuuu,

Wewe bhana hela huna fungulia kiredio mchina chako ulale usitujazie server sie....

"Nataka kula bata" huku upo jf unaandika migazeti, Sonophobia bhana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uwe na usiku mwema.
 
Back
Top Bottom