Wataalam wa bata ni wapi pa kujiachia weekend hii Dar es Salaam?

Wataalam wa bata ni wapi pa kujiachia weekend hii Dar es Salaam?

Kwa dar mkuu 300K zama tabata utaonekana kama Mondi huyu hapa, kuna sehemu wadau wamekutajia hii hela ni ndogo sana ila kama unavyosema ni kwa ajili ya ku enjoy tu mwenyewe inatosha sana pia na hata ikabaki.
Bajeti laki 3 tu sio class ya kiivyo napenda tu bata sehemu safi na tulivu bila kuhofia kurushiwa chupa au kwenda toilet mkojo unazagaa chini 😂😂

Hizo details aisee wewe wa kishua haswa 🙌
 
Panda gari nenda Saadan National Park , lipa kiingilio utembezwe mchana pesa haizidi Tsh 6500. Usiku chukua Room mule mbugani utalipa kama 36000. Ukikaa siku 2 utakuwa umepata utulivu mkubwa wa kichwa.

Angalizo kule hakuna ubavu wako, kama unataka ubavu nenda na mwenza wako kupunguza usumbufu na kuja kuandika uzi mpya
 
Wakali wa bata nipeni suggestions za place tulivu za kujiachia.

Nataka kutumia weekend hii kula bata man alone.

Sehemu ziwe zile classic zisizo na vurugu kuwe walau na muziki mzuri na warembo.

Pia kama unafahamu Airbnb nzuri nitajie nataka nikitoa leo ghetto narudi jumapili jioni.
Kanisani
 
Bajeti bei gani? How much class is classic to you?

Nenda msasani China Garden property chukua apartment/airbnb. Daka uber/bolt ikupeleke 1245 masaki for bata, usivae misendo sijui minini nini hutapewa access ya kuingia.
Nilienda 1245 ni pazuri sana muziki mzuri watu wasafi. Japo bia ni expensive lakini mazingira yanaakisi bei, lazima uchanje bila kupenda.
 
Nilienda 1245 ni pazuri sana muziki mzuri watu wasafi. Japo bia ni expensive lakini mazingira yanaakisi bei, lazima uchanje bila kupenda.
Haaaa Nimefurahi ulipapenda, kweli lazima card zihusike maana mtu siku hizi cash tunabeba za bolt tu ….. next time tutaonana mkuu tupungiane hata kwa mbali 😀

Si unajua sisi sio milima tutakutana, tukiwa kama pipo…….. sijui nini nini 🎤
 
Yeah kabisa 😅
 
Back
Top Bottom