Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Utulivu upo nyumbani kwako, nunua bia tulia kwako si wajiita Sonophobia wewe huko bar unaenda kufanya nini?Laki 3 sio pesa ya mawazo inatosha sana kufanya starehe. Nitumie million nafanyia nini? Mimi nataka utulivu ninywe bia nilale nitulize akili mbona kama tunashindana? [emoji23][emoji23]
Ebu muende naye 'out' angalau akapigwe upepo wa bahariUna tatizo la afya ya akili. Trust me unahitaji msaada I can feel you
Kuna mtu alinidokeza wenye tatizo la afya ya akili hujuana, nimeamini, tuombe wote msaadaUna tatizo la afya ya akili. Trust me unahitaji msaada I can feel you
Kuna mtu alinidokeza wenye tatizo la afya ya akili hujuana, nimeamini, tuombe wote msaada
Upweke pia unakusumbua. Jifanyie self assessment utakubali yote niliyokwambia.Kuna mtu alinidokeza wenye tatizo la afya ya akili hujuana, nimeamini, tuombe wote msaada
Upweke pia unakusumbua. Jifanyie self assessment utakubali yote niliyokwambia.
Btw nishapata airbnb ya usd 25. Baadae nitakuwa masaki nakula bia, karibu.
Wewe utakuwa unasumbuliwa na Nyege!Sio kama wewe ndie unasumbuka na upweke hadi kutupigia kelele kwa laki 3 tu [emoji1787]
Ukiwa na milioni si utatufungia maspika kabisa.
Nimefanya kazi wiki nzima.Sio kama wewe ndie unasumbuka na upweke hadi kutupigia kelele kwa laki 3 tu [emoji1787]
Ukiwa na milioni si utatufungia maspika kabisa.
Nimefanya kazi wiki nzima.
Nimeamua weekend nipumzike.
Nimetenga bajeti yangu ya laki 3.
Kwa bata langu inanitosha.
Anatokea mtu anaanza kunishambulia.
Anasema hiyo pesa hainitoshi.
Alafu huyo binti anaamini yupo sawa sawa kichwani mwake.
Na wadada je?Utulivu upo nyumbani kwako, nunua bia tulia kwako si wajiita Sonophobia wewe huko bar unaenda kufanya nini?
Awaite tena idadi atakayoimuduNa wadada je?
Nakumbuka kimbwanga cha mwisho mwisho cha lemutuz ,alidai yeye haendi hoteli za Uswekeni. Mara, mtu anapita anauza visu, mara anauza sumu ya panya, mara paka anapita miguuni!!Bajeti bei gani? How much class is classic to you?
Nenda msasani China Garden property chukua apartment/airbnb. Daka uber/bolt ikupeleke 1245 masaki for bata, usivae misendo sijui minini nini hutapewa access ya kuingia.
Sikia kienyeji girl, mtu kutoka kwenda kula bata sio mbwembwe.Leo mbona utasema yote bado hujasema [emoji23][emoji23][emoji23]
Pesa haikutoshi au mbwembwe zako ndio zimekuponza, nataka hivi, sitaki vile kwa laki laki tatu [emoji15][emoji23][emoji38]
Sikia kienyeji girl, mtu kutoka kwenda kula bata sio mbwembwe.
Mtu kuwa na choice ale bata wapi sio mbwembwe.
Laki 3 ni hela inayotosha sana kula bata na unainjoi fresh kabisa.
Sitoki kwenda kushindana natoka kwa ajili ya kuburudika nafsi kisha Jumatatu narudi kwenye harakati za utafutaji.
Hapa tatizo sio mimi tatizo ni wewe. Haupo sawa kichwani. Umejaa upepo na haujui hata kwa nini. Mental illness
Gharama zake zipo vipiBajeti bei gani? How much class is classic to you?
Nenda msasani China Garden property chukua apartment/airbnb. Daka uber/bolt ikupeleke 1245 masaki for bata, usivae misendo sijui minini nini hutapewa access ya kuingia.
Hizi sehemu sitakuja kwenda sababu ya kutaka kunipangia cha kuvaa kama wananilipaBajeti bei gani? How much class is classic to you?
Nenda msasani China Garden property chukua apartment/airbnb. Daka uber/bolt ikupeleke 1245 masaki for bata, usivae misendo sijui minini nini hutapewa access ya kuingia.