yoteyametimia
JF-Expert Member
- Nov 20, 2022
- 210
- 262
Maadam inafaida basi hiyo ni biashara nzuri sema mtaji wako ndio mdogoBiashara ambayo faida ni ndogo kuliko matumizi ni biashara yenye afya?
Mfano ukifanya mauzo, zaidi ya asilimia 60 hadi 70 inaenda kwenye matumizi kama maligafi n.k, na hakuna uwezekano wa kupunguza matumizi.
Karibuni mnielimishe naona natumia nguvu nyingi kwenye hii biashara, ni biashara ndogo tu
Kwamba mauzo yangekuwa mengi zaidi matumizi yangepungua??Maadam inafaida basi hiyo ni biashara nzuri sema mtaji wako ndio mdogo
Higher capital, higher running cost, higher profit, not otherwise.Kwamba mauzo yangekuwa mengi zaidi matumizi yangepungua??
Nimekuelewa Mkuu asanteHigher capital,higher running cost,higher profit,not otherwise.
Ugonjwa wake ni hiyo no. 1.sijui ntaeleweka!!!
1.Kama mtaji ni mdogo then total production cost itakua ndogo lkn production cost per unit itakua kubwa hivyo tegemea hasara au faida kidogo.
2.Kama mtaji mkubwa, total production cost itakua kibwa ila production cost per unit ndogo hivyo profit margin kubwa
sijui ntaeleweka!!!

Nimewaelewa sana wakuu π€π€Ugonjwa wake ni hiyo no. 1.
Faida hupatikana wakati wa kununua. Ukinunua raw materials ghali hutaweza pata faida kubwa kwenye final product so jitahidi ku lower down production kwa kununua hizo materials in bulk.
Yani Mfano ukiuza vya laki, 70 elfu inaenda kulipia bills (kununua maligafi) nabaki na 30 elf faidaMkuu yani 60β hadi 70% za mauzo na faida yake iko vipi sasa?? Au haujawahi kupiga hesabu lau unaingixa kiasi gani kwa hizo/kila malighafi unayonunu??
Mahesabu nimepiga ndo hayo, nashindwa kufafanua zaidi ya hapoMkuu yani 60β hadi 70% za mauzo na faida yake iko vipi sasa?? Au haujawahi kupiga hesabu lau unaingixa kiasi gani kwa hizo/kila malighafi unayonunu??
Biashara ambayo faida ni ndogo kuliko matumizi ni biashara yenye afya?
Mfano ukifanya mauzo, zaidi ya asilimia 60 hadi 70 inaenda kwenye matumizi kama maligafi n.k, na hakuna uwezekano wa kupunguza matumizi.
Karibuni mnielimishe naona natumia nguvu nyingi kwenye hii biashara, ni biashara ndogo tu.
Asante Mkuu π€π€watu wengi wanashindwa kuelewa msemo wa "Mwanzo ni mgumu"
kuanza biashara na hiyo biashara ndio ufanye yote mpaka kujikimu ni lazima ikushinde au kuwa mvumilifu.
kama ukiwa mvumilivu ni rahisi kufika mbali mpaka wateja kuwajenga
Duuh mkuu 30β ni faida kubwa hiyo.Yani Mfano ukiuza vya laki, 70 elfu inaenda kulipia bills (kununua maligafi) nabaki na 30 elf faida
Huwa napata hisia za msuli tembo matokeo sisimizi, bora ingekuwa 50% 50%Duuh mkuu 30β ni faida kubwa hiyo.
Shukrani sana Mkuu π€π€Mimi sjasoma Sana uchumi ,ila nimezaliwa nimekuzwa Na wajasiliamar so ngoja niseme kile kipo kichwan kwang si ktk makaratasi,
1.iyo faida sio ndogo km unavyosema 30% sema wewe umeweka tumain la kunufaika Na biashara kuliko wewe kuinufaisha biashara (umewaza matokeo badala ya mchakato) ipe mda biashara alaf punguza mambo yako yasichangamane Sana Na biashara yaaan ipe upumufu alaf utaona inakua.
2.faida ktk biashara ipo ili kufidia hasara so kinachokuza biashara Ni akiba biashara ukiacha kuibana ikawa inapumua maana yake utakua unaifadhi kidgo sasa iyo ifadhi ndio itatanua biashara au kupunguza majukum mengne.
3. Acha hulka ya faida andaa connection za malighaf Na punguza matumiz yasio Na lazma ktk uchakataji
Asante mkuuShukrani sana Mkuu π€π€
Haaaaa we jamaa 50/50 unafanya biashara gani??Huwa napata hisia za msuli tembo matokeo sisimizi, bora ingekuwa 50% 50%
Tafadhali Ndugu , Embe Rahisisha Maoni yako kwa Lugha Nyepesi (Rahisi kueleweka ) .sijui ntaeleweka!!!