Wataalam wa biashara naombeni somo hapa

Wataalam wa biashara naombeni somo hapa

yoteyametimia

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2022
Posts
210
Reaction score
262
Biashara ambayo faida ni ndogo kuliko matumizi ni biashara yenye afya?

Mfano ukifanya mauzo, zaidi ya asilimia 60 hadi 70 inaenda kwenye matumizi kama maligafi n.k, na hakuna uwezekano wa kupunguza matumizi.

Karibuni mnielimishe naona natumia nguvu nyingi kwenye hii biashara, ni biashara ndogo tu.
 
Karibuni mnielimishe naona natumia nguvu nyingi kwenye hii biashara, ni biashara ndogo tu
Maadam inafaida basi hiyo ni biashara nzuri sema mtaji wako ndio mdogo
 
Sijui ntaeleweka!!!

1.Kama mtaji ni mdogo then total production cost itakua ndogo lkn production cost per unit itakua kubwa hivyo tegemea hasara au faida kidogo.

2.Kama mtaji mkubwa, total production cost itakua kibwa ila production cost per unit ndogo hivyo profit margin kubwa
 
sijui ntaeleweka!!!

Ugonjwa wake ni hiyo no. 1.
Faida hupatikana wakati wa kununua. Ukinunua raw materials ghali hutaweza pata faida kubwa kwenye final product so jitahidi ku lower down production kwa kununua hizo materials in bulk.
 
Mkuu yani 60℅ hadi 70% za mauzo na faida yake iko vipi sasa?? Au haujawahi kupiga hesabu lau unaingixa kiasi gani kwa hizo/kila malighafi unayonunu??
 
Nimewaelewa sana wakuu 🤝🤝
 
Mkuu yani 60℅ hadi 70% za mauzo na faida yake iko vipi sasa?? Au haujawahi kupiga hesabu lau unaingixa kiasi gani kwa hizo/kila malighafi unayonunu??
Yani Mfano ukiuza vya laki, 70 elfu inaenda kulipia bills (kununua maligafi) nabaki na 30 elf faida
 
Biashara ambayo faida ni ndogo kuliko matumizi ni biashara yenye afya?

Mfano ukifanya mauzo, zaidi ya asilimia 60 hadi 70 inaenda kwenye matumizi kama maligafi n.k, na hakuna uwezekano wa kupunguza matumizi.

Karibuni mnielimishe naona natumia nguvu nyingi kwenye hii biashara, ni biashara ndogo tu.

Watu wengi wanashindwa kuelewa msemo wa "Mwanzo ni mgumu"

Kuanza biashara na hiyo biashara ndio ufanye yote mpaka kujikimu ni lazima ikushinde au kuwa mvumilifu.

Kama ukiwa mvumilivu ni rahisi kufika mbali mpaka wateja kuwajenga
 
watu wengi wanashindwa kuelewa msemo wa "Mwanzo ni mgumu"

kuanza biashara na hiyo biashara ndio ufanye yote mpaka kujikimu ni lazima ikushinde au kuwa mvumilifu.

kama ukiwa mvumilivu ni rahisi kufika mbali mpaka wateja kuwajenga
Asante Mkuu 🤝🤝
 
Mimi sjasoma Sana uchumi ,ila nimezaliwa nimekuzwa Na wajasiliamar so ngoja niseme kile kipo kichwan kwang si ktk makaratasi,
1.iyo faida sio ndogo km unavyosema 30% sema wewe umeweka tumain la kunufaika Na biashara kuliko wewe kuinufaisha biashara (umewaza matokeo badala ya mchakato) ipe mda biashara alaf punguza mambo yako yasichangamane Sana Na biashara yaaan ipe upumufu alaf utaona inakua.
2.faida ktk biashara ipo ili kufidia hasara so kinachokuza biashara Ni akiba biashara ukiacha kuibana ikawa inapumua maana yake utakua unaifadhi kidgo sasa iyo ifadhi ndio itatanua biashara au kupunguza majukum mengne.
3. Acha hulka ya faida andaa connection za malighaf Na punguza matumiz yasio Na lazma ktk uchakataji ,
 
Mimi sjasoma Sana uchumi ,ila nimezaliwa nimekuzwa Na wajasiliamar so ngoja niseme kile kipo kichwan kwang si ktk makaratasi,
1.iyo faida sio ndogo km unavyosema 30% sema wewe umeweka tumain la kunufaika Na biashara kuliko wewe kuinufaisha biashara (umewaza matokeo badala ya mchakato) ipe mda biashara alaf punguza mambo yako yasichangamane Sana Na biashara yaaan ipe upumufu alaf utaona inakua.
2.faida ktk biashara ipo ili kufidia hasara so kinachokuza biashara Ni akiba biashara ukiacha kuibana ikawa inapumua maana yake utakua unaifadhi kidgo sasa iyo ifadhi ndio itatanua biashara au kupunguza majukum mengne.
3. Acha hulka ya faida andaa connection za malighaf Na punguza matumiz yasio Na lazma ktk uchakataji
Shukrani sana Mkuu 🤝🤝
 
sijui ntaeleweka!!!
1.Kama mtaji ni mdogo then total production cost itakua ndogo lkn production cost per unit itakua kubwa hivyo tegemea hasara au faida kidogo.
2.Kama mtaji mkubwa, total production cost itakua kibwa ila production cost per unit ndogo hivyo profit margin kubwa
Tafadhali Ndugu , Embe Rahisisha Maoni yako kwa Lugha Nyepesi (Rahisi kueleweka ) .
 
Back
Top Bottom