Wataalam wa IT naombeni msaada

Wataalam wa IT naombeni msaada

Unatumia keys gani kujaribu kuingia bios?
Kama unaweza kuifungua na kupata cmos battery itoe itabid uikate coz imechomea kama capacitor then disconnect betry washa kwa umeme wa ukutani check me on 0629999600 kwa msaada zaidi
 
Tafuta kioo cha computer ujaribu ku connect Kama itaonyesha hivyo hivyo nazani inaweza kuwa motherboard imeaga mashindano hio au RAM
 
Kinachonipa matumaini ni iyo logo ya lenovo inaonekana ikiwaka, jarbu fn+f2
Kuingia bios ya lenovo tafuta pini then pembeni unapochomeka chaja kua kitudu ingiza hiyo pin press then washa utaenda kwa bios
 
Kama unaweza kuifungua na kupata cmos battery itoe itabid uikate coz imechomea kama capacitor then disconnect betry washa kwa umeme wa ukutani check me on 0629999600 kwa msaada zaidi
Mi nilimuuliza ili nimuelekeze, maana ThinkPad mda mwingine kama ali activate fn key itabidi abonyeze fn+key husika
 
Ndio nimehamisha zote muhimu kwenye Computer kubwa.

Hata kwenye BIOS haifiki mkuu

Shida nahisi ipo kwenye Graphics Card, nawaza kuichokonoa naumia
Inabid tujiulize je PC bila Graphics card haiwakii?

Je ktk keyboard lights inaonesha blinking ktk caps? Au kuna blinking light yoyote? Je beep sounds ukiwasha and after pressing some buttons..?

Was was mkubwa ni RAM au Motherboard ishaenda na maji.
 
Kama unaweza kuifungua na kupata cmos battery itoe itabid uikate coz imechomea kama capacitor then disconnect betry washa kwa umeme wa ukutani check me on 0629999600 kwa msaada zaidi
Si ndio nitaiharibu kabisa kwakweli sipendi kitu cha electronic kikianza kufunguliwa funguliwa
 
Inabid tujiulize je PC bila Graphics card haiwakii?

Je ktk keyboard lights inaonesha blinking ktk caps? Au kuna blinking light yoyote? Je beep sounds ukiwasha and after pressing some buttons..?

Was was mkubwa ni RAM au Motherboard ishaenda na maji.
Caps lock na Num lock zinawaka beep zasikika pia.
Kwenye TV inaonyesha bila shida ila Monitor yake ndio nyeupee
 
Caps lock na Num lock zinawaka beep zasikika pia.
Kwenye TV inaonyesha bila shida ila Monitor yake ndio nyeupee
Anha.. Pole sana.
Mie natumia DELL, HP na Lenovo.

Nimeua PC sana.
Na kitu nachohisi kinaua PC ni Win10.
Mbili uzimaji
Tatu kuchaji Pc bila kutumia akili.

Lenovo naiona ni strong sana..
Tafuta muda ukachek Screen pins na upime zile resistors kama zinapitisha umeme vizuri pia na cable yake from the motherboard. Otherwise enjoy HDMI.... BRAVO!
 
Mkuu, Da'Vinci kama unaweza nitafute na upo Dar es salaam, njoo nikusaidie... nitumie namba yako PM, nimeshakutana na PC jiwe,..hiyo cha mtoto... professionally ni Computer Expert | Hardware na Software...

Location: Ubungo, karibu na kimara

Nikisema nikuambia direct solution ni uwongo, ufundi siyo betting, PC ina mambo kibao, na brand husika..nina experience ya kutosha maswala ya Computer Na mazaga yake
Nipo mkoani mkuu songea ndani ndani huk
 
Usiwe na haraka. Hauna any bootable USB ujaribu kuboot? Hii itakuwezesha kuendelea ku rule out kama kuna any faulty hardware ama ni hdd pekee.

Boot need display, kama shida ni display, ni jambo gumu, peleka kwa wataalam tu
 
Back
Top Bottom