Kama unaweza kuifungua na kupata cmos battery itoe itabid uikate coz imechomea kama capacitor then disconnect betry washa kwa umeme wa ukutani check me on 0629999600 kwa msaada zaidiUnatumia keys gani kujaribu kuingia bios?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unaweza kuifungua na kupata cmos battery itoe itabid uikate coz imechomea kama capacitor then disconnect betry washa kwa umeme wa ukutani check me on 0629999600 kwa msaada zaidiUnatumia keys gani kujaribu kuingia bios?
Kuingia bios ya lenovo tafuta pini then pembeni unapochomeka chaja kua kitudu ingiza hiyo pin press then washa utaenda kwa biosKinachonipa matumaini ni iyo logo ya lenovo inaonekana ikiwaka, jarbu fn+f2
Mi nilimuuliza ili nimuelekeze, maana ThinkPad mda mwingine kama ali activate fn key itabidi abonyeze fn+key husikaKama unaweza kuifungua na kupata cmos battery itoe itabid uikate coz imechomea kama capacitor then disconnect betry washa kwa umeme wa ukutani check me on 0629999600 kwa msaada zaidi
Nyingi hazina icho kishimoKuingia bios ya lenovo tafuta pini then pembeni unapochomeka chaja kua kitudu ingiza hiyo pin press then washa utaenda kwa bios
Atumie ile button ya blue kwa keyboard imeandikwa thinkpadNyingi hazina icho kishimo
Atumie ile button ya blue kwa keyboard imeandikwa thinkpadNyingi hazina icho kishimo
Tuwekee pichaAtumie ile button ya blue kwa keyboard imeandikwa thinkpad
Hiyo recovery button naona ThinkPad nyingi mpya hazina, sijajua kama yake inayo au laAtumie ile button ya blue kwa keyboard imeandikwa thinkpad
Sawa atupe modelHiyo recovery button naona ThinkPad nyingi mpya hazina, sijajua kama yake inayo au la
Inabid tujiulize je PC bila Graphics card haiwakii?Ndio nimehamisha zote muhimu kwenye Computer kubwa.
Hata kwenye BIOS haifiki mkuu
Shida nahisi ipo kwenye Graphics Card, nawaza kuichokonoa naumia
Si ndio nitaiharibu kabisa kwakweli sipendi kitu cha electronic kikianza kufunguliwa funguliwaKama unaweza kuifungua na kupata cmos battery itoe itabid uikate coz imechomea kama capacitor then disconnect betry washa kwa umeme wa ukutani check me on 0629999600 kwa msaada zaidi
Tuma picha yake au modelSi ndio nitaiharibu kabisa kwakweli sipendi kitu cha electronic kikianza kufunguliwa funguliwa
Caps lock na Num lock zinawaka beep zasikika pia.Inabid tujiulize je PC bila Graphics card haiwakii?
Je ktk keyboard lights inaonesha blinking ktk caps? Au kuna blinking light yoyote? Je beep sounds ukiwasha and after pressing some buttons..?
Was was mkubwa ni RAM au Motherboard ishaenda na maji.
Toa cmosCaps lock na Num lock zinawaka beep zasikika pia.
Kwenye TV inaonyesha bila shida ila Monitor yake ndio nyeupee
Anha.. Pole sana.Caps lock na Num lock zinawaka beep zasikika pia.
Kwenye TV inaonyesha bila shida ila Monitor yake ndio nyeupee
Nipo mkoani mkuu songea ndani ndani hukMkuu, Da'Vinci kama unaweza nitafute na upo Dar es salaam, njoo nikusaidie... nitumie namba yako PM, nimeshakutana na PC jiwe,..hiyo cha mtoto... professionally ni Computer Expert | Hardware na Software...
Location: Ubungo, karibu na kimara
Nikisema nikuambia direct solution ni uwongo, ufundi siyo betting, PC ina mambo kibao, na brand husika..nina experience ya kutosha maswala ya Computer Na mazaga yake
Usiwe na haraka. Hauna any bootable USB ujaribu kuboot? Hii itakuwezesha kuendelea ku rule out kama kuna any faulty hardware ama ni hdd pekee.