Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #21
Sawa mkuu...Changamoto Ni mipango miji na kutokuwa na upimaji wa maeneo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu...Changamoto Ni mipango miji na kutokuwa na upimaji wa maeneo
Katika baadhi ya maeneo hakuna mipango shirikishi: mabaraza ya madiwani wanaona kuwa faida kubwa kwa miji ni kuwa na majengo/makazi cum kuuza viwanja hivyo hawaoni unuhimu wa kuacha maeneo ya misitu. Tazama mfano wa kibaha, eneo lilotengwa msitu sasa limevamiwa na majengo ya serikaliInfantry soldier huko sawa kabisa. Upandaji miti hautiliwi maanani kwa sasa. Miti inahitajika sana lakini hakuna msisitizo kwa sasa. Chuo Kikuu Dodoma hawajawahi kupanda msitu maeneo yale. Miaka zaidi ya kumi tangu chuo kianzishwe imepita.
Kuna kata nyingi hazina misitu hata kuhamasisha wanaopata viwanja kupanda miri hakuna. Vijiji na mitaa sioni wakiwa na mipango endelevu ya kupanda miti. TUJISAHIHISHE
Kama watu huwa wanafidiwa mali zao ili kupisha miradi ya maendeleo, kwanini sehemu zenye mbanano kama Magomeni, Manzese, Mbagala, Tandale kusifanyike fidia hizi ili kupata eneo kuwa la kujenga haya mapafu ya hewa safi walau ngazi ya kata tu?Sehemu nyingi bado watu wanajenga kiholela..
Sawa mkuu...Katika baadhi ya maeneo hakuna mipango shirikishi:
Daaah aisee, this is too sad mkuu...mabaraza ya madiwani wanaona kuwa faida kubwa kwa miji ni kuwa na majengo/makazi cum kuuza viwanja hivyo hawaoni unuhimu wa kuacha maeneo ya misitu.
Nikiwa nina safiri kwenda nje ya Dar huwa ninapita Kibaha na kuona ile miti mpaka moyo wangu unafurahi, sasa unaponiambia kuwa wameanza kufyeka ile miti mkuu, kweli watu ni wabaya aisee.Tazama mfano wa kibaha, eneo lilotengwa msitu sasa limevamiwa na majengo ya serikali
Sawa mkuu...Naamin ngazi ya kata kwa tz bado na pengine hawajalikuwa ktk mpango
Haloo...!!! Inaonekana hali hii inatisha sana mkuu...Mf. Kama watu wanauza au wanajenga ktk viwanja vya michezo au maeneo ya wazi yaliyotengwa, watakuwa na akili ya kuwa na maeneo ya hifadhi ya miti?
Sawa...Baadhi ya wilaya hizo hifadhi zipo
Hii pia hata mimi ninaikumbuka sana mkuu wakati nipo primary school.Pia maeneo mengi ya shule, hospitali, na maeneo ya ofisi za serikali walikuwa na utaratibu wa kupanda miti ktk siku ya miti Sina uhakika Kama huo utaratibu bado upo..
Kata yangu inayo maeneo mengi sana ya wazo sema ndio hivyo tena hakuna miti/mapafu ya kataMaeneo ya wazi ndio mapafu ya kata, kama kata yako haina muone mtendaji wako
Anza wewe kuonyesha njia panda miti mkuuKata yangu inayo maeneo mengi sana ya wazo sema ndio hivyo tena hakuna miti/mapafu ya kata
Sawa mkuu. Hii ndio vision yangu mwaka 2021Anza wewe kuonyesha njia panda miti mkuu
Aliwatetea Mabeberu baada ya kuona maji yamezidi Unga yakaja kuomba radhi kwa Rais Magufuli.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu Watanzania wataalam wa mazingira eti;
Kwanini kuna huduma za kijamii (shule, polisi, hospitali) za kata lakini hakuna hifadhi ya misitu (mapafu ya hewa safi) kwa ngazi ya hiyo?
Au hiyo hifadhi maalum ya misitu kwa ngazi ya kata ipo lakini mimi ndio sijui?
==========
The Amazon (Msitu wa Amazon) is often referred to as Earth's 'lungs,' because its vast forests release oxygen and store carbon dioxide, a heat-trapping gas that is a major cause of global warming.
Msitu wa Amazon ndio msitu mkubwa zaidi duniani unaopatikana huko America kusini. Msitu huu una eneo lenye ukubwa wa kilomita za mraba 5,500,000 ( Milioni 5) yani kwa ukubwa huu nchi ya TANZANIA iingie mara 6 kwenye msitu huo.
View attachment 1588819
Msitu wa Amazon unakadiriwa kuwa na miti billion 400 na aina mbalimbali za miti zaidi ya 160,000 pia kuna miti ya matunda tofauti tofauti elfu tatu katika msitu huo.
Asilimia 20% ya oxygen iliyopo dunia inatengenezwa katika msitu wa amazon ndio maana unaitwa mapafu ya dunia.
==========
Kwanini huduma nyingi za kijamii (shule, polisi, hospitali) zimeteremshwa kutoka ngazi ya Taifa, Mkoa, Wilaya, Tarafa, Kata isipokuwa huduma hii ya kuwa na hifadhi nzuri za msitu (Mapafu ya hewa safi)?
View attachment 1588820
Kama watu huwa wanafidiwa mali zao ili kupisha miradi ya maendeleo, kwanini sehemu zenye mbanano kama Magomeni, Manzese, Mbagala, Tandale kusifanyike fidia hizi ili kupata eneo kuwa la kujenga haya mapafu ya hewa safi walau ngazi ya kata tu?
MSAADA PLEASE: Ni miti gani mizuri mtu anaweza kupanda pasipo mizizi yake kuleta madhara kwenye msingi wa nyumba?
WATAALAM WA MAZINGIRA NA MIPANGO MIJI MSIPITE PASIPO KUCHANGIA CHOCHOTE TAFADHALI.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Infantry Soldier 〜 A True Patriot 〜
Hewa safi ni muhimu sawa!! pia jua kuwa TZ hatuna na maviwanda meeengi kiivo ya kuchafua mazingira yetu km nchi zilizoendelea kiviwanda siasa na uchumi mfano nchi km Canada, Usa, Russia, Japani nk. kuanzia leo jua kuwa tuna hewa safi!Mkuu, yaaani una maanisha hewa safi sio hitaji la muhimu?
Global Warming ni changamoto ya dunia nzima mpaka Tanzania au ni kwa nchi zilizoendelea tu kama Russia, USA na Japan?...Hewa safi ni muhimu sawa!! pia jua kuwa TZ hatuna na maviwanda meeengi kiivo ya kuchafua mazingira yetu km nchi zilizoendelea kiviwanda siasa na uchumi mfano nchi km Canada, Usa, Russia, Japani nk. kuanzia leo jua kuwa tuna hewa safi!
Ok! ni suala la Dunia nzima hii haina tatizo!! je sasa swali Mura! chanzo cha tatizo Hasa la global warming ni nini? je ni wenyeji wa kiribho ambao wamesheheni Misitu tele bila hata chembe ya viwanda? tena imewazunguka kwa miaka dahari kwanza ukiwapa slogan km hizi hawata kuelewa kabisaaa! si unajua ware ndg zako walivo watata mura?Global Warming ni changamoto ya dunia nzima mpaka Tanzania au ni kwa nchi zilizoendelea tu kama Russia, USA na Japan?...