Wataalam wa nyoka huyu ni nyoka gani?

Puff Adder (Kifutu) sumu yake kali inaitwa cytotoxic.
Ni myotoxic mkuu. Cytotoxic ni sumu kwa seli-hai (living cells=body cells) na sumu hii cytotoxic huingilia na kuharibu utaratibu au mfumo wa seli kugawanyika /ukuaji (ref.Cytology).
 
Utakua umechanjiwa dawa..uliza kwenu watakuambia
Huwa nikiuliza wanasema hamnaga hiyo swala kwao na nikicheki wote wazee wa ibada sio sana ila kwingine imani hiyo sijawahi ona na Kuna mengi ila nakosa majibu nabaki na maswali.
 
Hizi ni story unaleta nabii wa uongo.. Nyoka hana masikio [em

Hizi ni story unaleta nabii wa uongo.. Nyoka hana masikio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulizia SAUT main campus 2016 wanafunzi walikuwa wanapambana na nyoka ila aliponioba alilala nikaenda muua kwa kusigina kichwa na safari boot zangu. Nakumbuka ilikuwa njia ya kwenda malimbe. Wow nilijiona kidume kwelikwel
 
Ungekutana na huyu jamaa ungeelewa tofauti ya koboko (black mamba) na moma (kifutu).
 
kuna sehemu inaitwa DAKAWA kule wakimbizi wa South Africa walikuwa wakifanya yao.

nimesoma kule, hao nyoka ni wengi kiasi kipindi cha mvua huwezi maliza kilometa 1 hujakutana nao chini ya 10 -20. sasa leo ndio naona hatari iliyokuwa mbele yangu kipindi hicho. sababu nyoka hawa nilikuwa nawakamata kwa mkono nikiamini hawana sumu. nilikuwa nawakamata nawatia kwenye mfuko mkubwa, ninamaanisha nilikuw nikiingia pembezoni na mifereji mikubwa kipindi cha mvua nawafuatilia kutokana wana uzito flani hivyo wakipita wanaacha trace, nilikuwa nakamata mmpaka moma 100 kwa siku mbili. kuna mzee, alikuwa anakula hawa na nilikuwa nikimuuzia moma mmoja Tsh 200, chatu 5000. nilijifunza kula nyoka kipindi hicho. sasa mmnaposema wana sumu basi nilikuwa ktk hatari kubwa na sikuwahi kuumwa na aina hiyo ya nyoka, lakini nishaumwa na nyoka wengine wengi tu si chini ya mara 7 katika harakati hizo. yaani naposema kama kuna nyoka nilikuwa siwaogopi ni hawa kumbe yana sumu?
 
Watamu WA wanyama WANASEMA nyoka WENYE sumu siku zote kichwa Chao ni triangle kama HUYO na walio na head ya KAWAIDA mostly HAWANA sumu
 
Watamu WA wanyama WANASEMA nyoka WENYE sumu siku zote kichwa Chao ni triangle kama HUYO na walio na head ya KAWAIDA mostly HAWANA sumu
 
A
Aiseee
 
Point of correction. Sumu yake ni cytotoxin. Inaua seli na kufanya sehemu ianze kuoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…