WATAALAM WA UCHUMI NAOMBA KUJUA HAYA MAMBO YAMEKAAJE.

wakunyonya

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2024
Posts
994
Reaction score
2,433
Happy Easter Wana Jf,
Twende kwenye mada! Kila nchi Ina Hela yake na bila shaka Kuna sehem ambapo hizo Hela wanaziprint then serikali inaziingiza katika mzunguko.
MASWALI
Hivi kwann licha ya serikali au nchi fulan kuprint Hela zake yenyew haiwezi kuchukua zile Hela direct zilipo printiwa na kulipa madeni au kutekeleza miradi yake?
Kwann wanasubiri mpaka waziingize kwenye mzunguko then wavuje jasho tena kukusanya kodi ndipo watekeleze miradi au walipe madeni?
Kwann hawaprinti za kutosha then nyingine zikawekwa kwenye mzunguko na nyingine zikatumika direct kulipa madeni au kutekeleza miradi bila kuziingiza ktk mzunguko na kuvuja jasho kukusanya kodi?
 
Rejea theory of Babylon system of human kind life. Uimara wa Sarafu ya nchi haupangwi na nchi husika, ndiyo maana unaona hela ya Kenya Ina nguvu kubwa kuliko ya Tz
 
Ok, tuachane na thaman ya Hela, kwann Hela baada kuprint ni mpka iwekwe kwenye mzunguko then serikali ndiyo ikusanye Kodi, kwann isiprintiwe direct na kulipa madeni au kufanya mirad
 
Swali zuri sana, unatakiwa ujue kwanza fedha huprintiwa kwa gharama!.. yani unalipa fedha kuprint fedha!.
usije ukafikiri ni bure ku print, ikiwa hivyo kila nchi ijiprintie fedha zake kwa uwingi wanaoutaka basi kutatokea mpasuko mkubwa wa kiuchumi kwa inflation!.
fedha ikizidi watu hupandisha bidhaa zao bei na ndipo hapo kizazai kinapoanzia maana fedha yenu itafika hatua itakosa thamani maana itafika hatua nyanya tatu tu mtakuwa mnanunua kwa alfu kumi ama hata laki moja!.. hivyo mataifa mengine yataikacha fedha yenu na kwenye mizunguko myengine ya fedha watu wataiacha!.. kwasababu fedha yenu inakuwa sasa haina mlinganyo kati ya demand and supply!.

Katika uchumi lazima kuwe na mlinganyo ili kusiwe na uchumi fake!.
yani nguvu inayozalisha nchi ilingane na fedha pia inayopatikana! na ndio maana kila nchi inapambana na watu wanaotengeneza pesa fake ili kutokuleta matatizo ya inflation..
nimeeleza kwa uelewa wangu mwenyewe sijui sana...😂
 
Kwahyo tunatoa Hela kutengeneza Hela, kwamba sisi hatuwezi kuwa na machine ya kutengeneza hizo hela au Kuna nchi special zinapewa hiyo dhamana.
Swali ilikuwa kwann baada ya kuprint zisichukuliwe direct kulipa madeni au kutekeleza miradi then nyingine zikawekwa kwenye mzunguko.

Kwann ziwekwe zote kwenye mzunguko then hao hao tena warudi Kwa wananchi kukabana na kodi.
 
Mh! mkuu mi nimeishia hapo uchumi mi mwenyewe unanichumu wengine watakuja kumalizia...🤣
 
Back
Top Bottom