Wataalam wa ujenzi, hii nyumba inaweza kugharimu kiasi gani?

Wataalam wa ujenzi, hii nyumba inaweza kugharimu kiasi gani?

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Wataalam wa ujenzi hii nyumba inaweza kugharimu kiasi gani nimeipenda.

IMG-20220308-WA0019.jpg
 
Hiyo nyumba finishing tu mpaka ifikie hapo si chini ya 18m ukijibana sana
Hapo namaanisha
1.Tiles
2.Madirisha (Grill & Aluminium)
4.Milango
3.Skimming na Rangi
Wengine watasaidia gharama za kunyanyua boma mpaka kupaua
 
okay
 
Nyumba huwa haithamanishwi picha bali picha yaani 3D na ramani yake nfipo hesabu kamili iltapatikana.

1. Ramani huonyesha ukubwa kupitia vipimo vyake.
2. Picha yaani 3D tena pande zote husaidia kutoa mwangaza halisi itakavyokuwa

..
Hapo ndipo utapata halisi..
Vinginevyo ...endelea kupewa ramli
 
Wataalam wa ujenzi hii nyumba inaweza kugharimu kiasi gani nimeipenda.

View attachment 2143686
Ww unajifunza lakini umekosea. Ilitakiwa utoe picha za nyumba (project renderings) pande zote na pia aerial view na vipimo halisi in metric au empirical system ya kila upande nk. Wote waliokupa namba ya kiasi cha fedha hawajui kitu na wote wamekuongopea. Hio picha yenye single side view haitoshi kabisa kukupa jibu hapo.
 
Nimeinunua mahali, nataka kuanza ujenzi. Ndio maana nimekuja hapa kuomba ushauri. Siwezi kutoa yenye vipimo halisi, nitakua naharibu biashara ya muuzaji wa hizo ramani
 
Nimeinunua mahali, nataka kuanza ujenzi. Ndio maana nimekuja hapa kuomba ushauri. Siwezi kutoa yenye vipimo halisi, nitakua naharibu biashara ya muuzaji wa hizo ramani
Basi nenda kwa mkadiriaji umlipe akupe makisio. Huwezi kadiria bila floor plan.
 
Nimeinunua mahali, nataka kuanza ujenzi. Ndio maana nimekuja hapa kuomba ushauri. Siwezi kutoa yenye vipimo halisi, nitakua naharibu biashara ya muuzaji wa hizo ramani
Kama alivyosema mwingine.. hapa kuna wataalamu tungekuasaidia ushauri wa bure.. vipimo ni muhimu sana.. sababu Kwa Mfano.. kama ukuta una upana wa futi 10 (inch 120) na juu kina unaenda futi 9 (inch 108).. manake hapo kwa matofali ya block ya inch 9 kwa inch 6.. itatumia matofali 12 kila laini (jointi ni inch 1) mara laini 15 (kila laini ni inch 7 kina sababu joint pia ni inch 1).. jumla ni matofali 12x15= na matofali180 ya block ya inch 9x inch 6 kwa huo ukuta .. cement.. mifuko mitatu hadi mitano ya jointi. (Kutegemea na ratio uta-mix).. lenta kwa huu ukuta mmoja ni vipande vinne vya nondo kila kimoja inch 10 (sawa na futi 40 au nondo nzima).. cement ya lenta.. ya plasta.. ya zege sakafu nk. dirisha fremu na shata zake... nk.. unafanya mahesabu namna hiyo kila ukuta.. kisha mahesabu ya bati.. mbao za makench.. mbao za draft.. jipsam boards.. milango fremu.. milango shata... plumbing.. wiring... rangi.. tiles za sakafu.. nk.. Bado ww unajifunza mambo ya ujenzi.. NGOJA UPIGWE KWANZA NDIO UTAJIFUNZA.. All in all we wish you the best. Ujenzi raha sana.
 
Back
Top Bottom