Wataalam wa ujenzi, hii nyumba inaweza kugharimu kiasi gani?

Ukishajua kwamba matofali yanaingia mangapi.. nondo ngapi.. mifuko ya cement mingapi.. bati ngapi.. mbao kiasi gani.. tiles ngapi.. gypsum boards ngapi.. nk.. ndio utapata makisio kwa kwenda kuulizia bei ya hivyo vitu hardware nk. Lakini lazima mtu ajue vipimo. Mfano sakafu ya chumba cha futi 10 kwa futi 10 inaingia tiles 100 zile za 30cm×30cm. Wanauza kwa boksi lenye tiles 17 na kuendelea.. manake maboksi 6 kwa hichi chumba. Pia kuna cement ya kuzishikiza nk. Japo kwa ujenzi.. tiles ni za mwisho kabisa.. ila ukitaka quotation halisi lazima uzijumlishe..
 
Wataalam wa ujenzi hii nyumba inaweza kugharimu kiasi gani nimeipenda.

View attachment 2143686
Kwa gharama za ujenz za sasa hyo ni 40m.. na itategemea na finishing yako.. ukitaka mbwembwe zaid na mavyumba meng yenye self itaongezeka zaid..

Halaf pia kukadiria nyumba kwa picha kama hyo ni ngumu... Unrealistic

Sabab hujui vyumba vingap.. etc etc
 
Naomba niunge hapo kwenye lift ya tiles.
Room yangu ni futi 15 kwa 14. Je box ngapi za tiles zitaingia.? Samahani
 
Naomba niunge hapo kwenye lift ya tiles.
Room yangu ni futi 15 kwa 14. Je box ngapi za tiles zitaingia.? Samahani
Hio ni hesabu rahisi sana.. hapo ni 15x14.. kwa tiles zile za futi 1 (30cm) kwa futi 1. Manake ni tiles 210 jumla.. sawa na maboksi 210/17= maboksi 12..
 
Upo sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…