Mkoba wa Mama
JF-Expert Member
- May 5, 2021
- 280
- 173
Nimefikiria hii, mtu anamaliza kutumia choo alafu anatoka kuja kunawa nje ya choo, hii inaweza kusababisha kusafirisha uchafu na vimelea vya magonjwa kutoka chooni, mfano wakati wa kufungua mlango wa choo n.k
Kwa nini masink yasiwekwe ndani, mtu anapomaliza kujisaidia ananawa ndani kabla ya kutoka eneo la tukio, anatoka nje akiwa msafi? Au kama kutakuwa na sink nje, liwepo kwa ajili ya kujisuuza tu. Wataalam hivi imekaaje?