Mkoba wa Mama
JF-Expert Member
- May 5, 2021
- 280
- 173
- Thread starter
- #21
ExactlyLugha gongana hapa yeye anamaanisha yaan sink lipo nje ya choo ukitoka chooni ndio unakuta sink lipo nje akiweka tahadhari ya kubeba vimeleo ,hii kwa ujumla ni kweli kabisaa so far anashauri sink iwe ndani chooni kabisa then sink nyingine ya kusuuza mikono ukitoka chooni