Wataalamu hii CV ina makosa gani?

Wataalamu hii CV ina makosa gani?

Afrocentric view

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2022
Posts
1,374
Reaction score
2,280
Hello jf,
Najua huku kuna wataalamu na maHR wenye uzoefu na hizi mambo.

Kuna mdogo wangu hapa anatafuta kazi haitwi hata interview,sisi wengine hatuelewi haya mambo tuliishia la7 B tukaingia kwenye biashara.

Hii Cv yake ina mapungufu gani?
Screenshot_20230614-135132_WPS Office.jpg
Screenshot_20230614-135146_WPS Office.jpg
Screenshot_20230614-135153_WPS Office.jpg
 
Kama unaficha hata vitu ambavyo hukupaswa kuvificha sisi rukusaidieje?
Endelea kuhangahika na njaa za mtaani
Mkuu mimi niko busy sina mda au ujuzi wa kuedit hivyo, so nlimwambia dogo aondoe details zake personal nipost huku..
By the way sijapost kumuombea ajira,ila ni watu waone format ya CV kama iko sawa au amekosea.
 
Kwenye kipengele cha Education na Experience hapo, nashauri apangalie in descending order inaleta maana zaidi. Yaani aweke from latest to old
hivi ukisema experience inabdi kila kipengele ukielezeee??? au unaandika tu mwaka na sehemu uliyofanya
 
Hello jf,
Najua huku kuna wataalamu na maHR wenye uzoefu na hizi mambo.

Kuna mdogo wangu hapa anatafuta kazi haitwi hata interview,sisi wengine hatuelewi haya mambo tuliishia la7 B tukaingia kwenye biashara.

Hii Cv yake ina mapungufu gani?View attachment 2657107View attachment 2657108View attachment 2657109
Kwanza aifumue apange in descending order.. kuanzia current time to old

Juu aweke picha na objective kwa kifupi.

Experience aeleze kwa kifupi tu,asiwe km anaandika essay,
Hakuna mtu ataanza kusoma maelezo mareefu kutafuta point ilipo.

Education unayomata ni ya chuo /certificate ama diploma.
Huko secondary si muhimu sana kuweka.
Pia chuo aweke kozi chache,hata 5 tu anazoona ni basic.

CV ikizidi sana iwe page 2 tu.

Wakati wa kutuma maombi aibwage cover letter pale sehemu ya attachment.
CV zinazotumwa ni nyingi,lazima ujiongeze namna ya kumshawishi mpokea email azingatie email yako.
 
Thanks for your input mkuu. Objective ndio anaandika nini?
 
Thanks for your input mkuu. Objective ndio anaandika nini?
I mean summary pale juu
Juu iwe picha yake jina,namba zake ,email
Kwa chini yake aandike summary fupi kulingana na fani yake

Kwa mfano labda ni engineer
Aandike I'm a civil engineer possessing engineering skills which many organization would need to prosper .

Ni mfano.

Kitu cha pili aweke experience
Azipande from current to old
Mwambie asummarize,ameandika kwa kirefu mno muda kusoma maelezo mengi watu wengi hawana
Aandike kwa kumention.

Aje education
Aweke ya chuo tu
Na kozi chache ambazo anaona ni basic zinabeba fani yake
Kozi kama 5 tu za muhimu.

Aje skills
Kuna zile professional na general
Amention

Aje reference ,basi CV imeisha.

Hizo blah blah sijui sex,religion
Nationality
Si vibaya ila they are not necessary.
Kimachomata ni uzoefu
Na skills ulizonazo.
 
Back
Top Bottom