Wataalamu hii CV ina makosa gani?

Wataalamu hii CV ina makosa gani?

Wakati anaiandika upya kwa kufuata maelekezo ya wadau hapa, napendekeza asichanganye tena herufi kubwa na ndogo ktk uandishi kama hapo kwenye jedwali, wataona graduate wa Bachelor hajui kuandika(achague format moja mfano:Aa AA. kwenye Ms word zipo). Halafu neno Dar es salaam haliandikwi Daresalaam hvo alivoliandika.
 
Back
Top Bottom