Afrocentric view
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,374
- 2,280
Cv page zote hizo za nnHello jf,
Najua huku kuna wataalamu na maHR wenye uzoefu na hizi mambo.
Kuna mdogo wangu hapa anatafuta kazi haitwi hata interview,sisi wengine hatuelewi haya mambo tuliishia la7 B tukaingia kwenye biashara.
Hii Cv yake ina mapungufu gani?View attachment 2657107View attachment 2657108View attachment 2657109
Page 3 tu.Cv page zote hizo za nn
Ooh sawa asante kwa kumpa moyo...mwanzoni alikuwa ameweka picha yake nkamwambia aitoeCV ni sehemu mbili tu
1)Personal Details: hivi kila mtu anayepumua anavyo
2) Experience: hapa ndio CV yenyewe na yeye naona ana ujazo wa kutosha
So tatizo sio CV ni wakati wake tu bado
Mmmh hatari sana kwenye expirience kumbe unatakiwaa kuweka details nyingi hivyo???Ooh sawa asante kwa kumpa moyo...mwanzoni alikuwa ameweka picha yake nkamwambia aitoe
Mkuu mimi niko busy sina mda au ujuzi wa kuedit hivyo, so nlimwambia dogo aondoe details zake personal nipost huku..Kama unaficha hata vitu ambavyo hukupaswa kuvificha sisi rukusaidieje?
Endelea kuhangahika na njaa za mtaani
hivi ukisema experience inabdi kila kipengele ukielezeee??? au unaandika tu mwaka na sehemu uliyofanyaKwenye kipengele cha Education na Experience hapo, nashauri apangalie in descending order inaleta maana zaidi. Yaani aweke from latest to old
Kama.unashusha visa vya kimasihara [emoji23][emoji23] kuandika hvyo ndo ushindwe!!Mmmh hatari sana kwenye expirience kumbe unatakiwaa kuweka details nyingi hivyo???
Kuelezea ni muhimu zile duties ulizofanya japo kwa ufupi.hivi ukisema experience inabdi kila kipengele ukielezeee??? au unaandika tu mwaka na sehemu uliyofanya
Shukran,ntamwambia.Kwenye kipengele cha Education na Experience hapo, nashauri apangalie in descending order inaleta maana zaidi. Yaani aweke from latest to old
Hahah huyu hajasomea biashara.Muingize kwenye biashara yako mkuu hakika Kwa elimu yake mtafanikiwa Kwa pamoja.
Biashara SI lazima usome.Hahah huyu hajasomea biashara.
Kwanza aifumue apange in descending order.. kuanzia current time to oldHello jf,
Najua huku kuna wataalamu na maHR wenye uzoefu na hizi mambo.
Kuna mdogo wangu hapa anatafuta kazi haitwi hata interview,sisi wengine hatuelewi haya mambo tuliishia la7 B tukaingia kwenye biashara.
Hii Cv yake ina mapungufu gani?View attachment 2657107View attachment 2657108View attachment 2657109
Thanks for your input mkuu. Objective ndio anaandika nini?Kwanza aifumue apange in descending order.. kuanzia current time to old
Juu aweke picha na objective kwa kifupi.
Experience aeleze kwa kifupi tu,asiwe km anaandika essay,
Hakuna mtu ataanza kusoma maelezo mareefu kutafuta point ilipo.
Education unayomata ni ya chuo /certificate ama diploma.
Huko secondary si muhimu sana kuweka.
Pia chuo aweke kozi chache,hata 5 tu anazoona ni basic.
CV ikizidi sana iwe page 2 tu.
Wakati wa kutuma maombi aibwage cover letter pale sehemu ya attachment.
CV zinazotumwa ni nyingi,lazima ujiongeze namna ya kumshawishi mpokea email azingatie email yako.
I mean summary pale juuThanks for your input mkuu. Objective ndio anaandika nini?