Wataalamu hii nayo ni kanzu ⁉️

Kwa sasa hata mm hili jiji hata mm linanichanganya SANA hasa upande wa vijana wa kiume mavaz na miendo Yao n mtihani mzito

Tena vijana kama hawa wapo mbele Za kamera na wanapewa MAILEJI yakutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…