Wataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics

kula dawa, alafu jipe muda ni mambo ya kawaida hayo
Thanks for your time, Kwa kweli limekua ni Jambo kubwa Ila Kwa msaada kama wenu nimepima Mpaka HIV Mpaka SASA najua nipambnae Tu nipone tuendelee na harakat za Maisha,.... Na hata kama nakufa basi Uzi huu uje uwe fundisho Kwa kwetu sote, sababu mim sio Malaya na demu alienipa ndio nilimwamini mno
 
Mkuu alikupa nini ? ilikuwaje mna mahusiano ya muda gani ?
 

Duh hapo cha moto utakiona, wewe kila siku tunasema tumia condom paka KY inakuwa lainii, huchubui mtu na condoms itakuwa salama sana, ili ujikinge husikii, sasa ndio unaanza kusikia baada ya kupata gono sugu, ukiugua masikio na ubongo unaanza kusikia na kuelewa kuwa kuna kinga ya STDs.

Sina ushauri.
 
Mkuu alikupa nini ? ilikuwaje mna mahusiano ya muda gani ?
Unajua unaezakutana na mwanamke ukaona anamaisha magum kidgo, nikasema Acha niwe nae, chochote nachotaka ananipa, simu moja yupo napotaka awepo nikamwamini... Na yeye kasema alishawahi tibiwa Ila hakunambia,, kanambia uken ulitoka uchafu WA njano na damu....
Nimekaa nae 2 years, picha picha imeanza 2 months ago na sina demu mwngine nnae enda kavu
 
DR Mambo Jambo Lovie Lady pitieni hapa...

Carlos The Jackal Herbalist Dr MziziMkavu
 
Pole sana mkuu, wakati mwingine uwe makini, huwezi kupima afya ya mtu kwa macho/ muonekano wa nje tu.
 


Matumizi hayo ya dawa yanaelekea kuielemea figo, pole sana, sijui hata nikushauri vipi. Mungu akuponye.

Nakushauri wakati unapambana na haya uache ngono kabisa mda mrefu, mpka uwe sawa kabisa.
 
Utapona tu,ila ukome kufanya ngono kipumbavu.Pia mpigie simu huyo mwanamke na yeye akajitibu na yeye awapigie wote aliotembea nao na wao wawapigie waliotembea nao.Mweh ni vicious cycle. Get well soon. Hivi inatokeaje mtu unafanya ngono zembe ?Kwangu mimi utajiri number moja ni afya njema.Kamwe siwezi kufanya ngono hovyo hovyo na watu wa hovyo.
 
Huyo anapima mara kwa mara HIV sababu anauza mechi sana.Ana wanaume wengi na hawezi kupona coz hata akinywa dawa anaenda kukutana nao tena.Piga chini huyo demu. Sababu hata ukimaliza dozi,ukitembea nae tena atakuambukiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…