Majibu aliyouliza yote!
majibu yake ni Ndiyo..
Tena imemsitiri sana maana Gono wameilea Tangu mwaka Jana November (Kwa maelezo yake) Amekuwa akiipoza tu na Dawa.
Sihukumu ila natoa ushauri!
kama yule msichana Anapenda kufanya naye mapenzi kinyume na maumbile au kwa njia ya kawaida ningependa zaidi kama Angefanya ngono iliyo salama..
Kingine yule msichana na yeye atibiwe kutibu upande mmoja ni kazi bure Wote mtibiwe ili kuzuia maambukizi mapya..
Dawa aliyopewa kisiwani (Hapo mwishoni) Zinaweza kuwa dawa sahihi kwake Yeye na kwa mpenzi wake!
Japo kwa Case yako Lazma ningeongeza na Benzathine Peniciline (Penadur) kwa sababu hiyo kitu imekomaa sana kwahyo ungechoma benzathine kwa wiki 3- 5 angalau..
NB: Kingine kwa Madaktari wote Augumentin (Amoxicilin Plus Potasium Clavulanic "Amoxiclav)
Mara nyingi sio Dawa Sahihi sana kwa Magonjwa ya zinaa..(Japo ni dawa nzuri kwa magonjwa ya mfumo wa hewa)
Kutokana na Amoxiciline kuwa Na nguvu kubwa kwenye Gram Positive bacteria Na kuwa na nguvu ndogo kwenye Gram negative bacteria...
Wakati huo Neisseria Gono....ni gram neg.ssp
Kwahyo tunaweza kusababisha usugu wa Dawa kwa wagonjwa na Kusababisha kutengeneza untreated Traits..
Tuzingatie miongozo...na Researches....
CC:
dopamine-B