DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Mkuu unaishi Tanzania au unaishi nje ya nchi?Yaani hospital iweze kufanya uroflometry ila wasiweze kufanya culture and sensitivity? Na what's the point ya kuwa na referral au private labs km Metropolis au Lancet km kila kitu lazima ufanyie hapo hospitalini kwako? Acha kutetea makosa kwa kufanya makosa zaidi
Kwa Tanzania Hospitali za Private nyingi kutoa Rufaa ni mpaka pale waone hali ya mgonjwa ni mbaya na hawawezi kufanya chochote