dopamine-B
Member
- Sep 1, 2012
- 93
- 278
[NOTICE] May 2024
Kumekua na upotoshaji Sana katika jamii kuhusu matibabu. Pia kuna dhana ya kwamba kuna zinaa sugu, wataalamu wanakanusha. Isipokua kuna shida kwenywe diagnosis za ugonjwa, reinfection na Pia bacteria wanakua resistant na dawa ambazo zilkua awali zinatibu na SASA hazitibu tena, so badala ya Dr kukupa first line antibiotics badala yake inabid akupe combination antibiotics za last resort.]
[MY CASE POSTED ON Dec 2023.]
Habari za Harakat za Maisha Wana forum.
Mimi ni kijana WA Miaka 32
3 months ago nimekutana na demu, nikapiga kawaida Tu bila mpira.....
Nikapata UTI nimekunywa flucamox mara 2, bila nafuu....
Nikaenda zahanati nimepewa Augmentin cluvamate nikapata nafuu kidogo tatizo bado linarud....
Nikaenda hospital agakhan kigamboni, wakanambia kwenywe vipimo mkojo uko Sawa Ila Kwa maumivu ya pumbu na uume pia kutoa semen yenye maji mepesi ya maziwa ni STD ambayo ni gono...
Nikapewa Ceftriaxone injection 1g
Doxycycline 2/siku 10
Metronidazole 400mg/siku 10
Nikapata nafuu kipindi natumia dawa siku ya kumi Tu maumivi makali Sana kwenywe uume na chini ya kitovu, mkojo hauumi nikikojoa.... Usaha mara moja sana Hadi mwishon mkojo nikojoa ndio naweza uona. Nikipekenywe urethra naona kama vidonda ivi au ulcers....
Napata maumivu makali Sana nikaa au nikilala...
Nimeenda kupima hiv imetoka -ve, Dr kanambia kama nilimnyonya mate na yeye alinyonya uume basi ndio nimepata fangus mdomoni... Sometimes nameza Kwa shida Sana....
Nikachoma pesa kwenda Agakhan Ocean road, nimefanaya vipimo vya uroflowmetry, urinalysis, na ultrasound... Mtaalamu WA urology akasema Nina prostatitis..
Nimepewa Lomefloxacin 400mg siku 14, Alfuzosin siku 14 na aceclofenac...
Problem ni Kua hizi dawa zinanizingua Sana.
Nikaenda hospital tena Jana kisiwani kufanya kipimo cha HIV na damu, HIV sina ni negtv, Ila kwenywe damu Dr kasema bado kuna STD... Pia fungus mdomoni...
Kaniandikia
Cefixime 400mg PO 1*1/5
Ceftriaxone 2g injection
Azitromycin 1g PO stat
Fluconazole 150mg/10 days Kwa ajili ya fungus
Leo nipo siku ya pili naendelea na dozi, (dawa za prostatitis nimeziacha Kwanza nimalize gono)
Swali
1. je nikawaida Kwa gono kutoka usaha WA maziwa mepesi mara moja moja na pia kwenywe semen Kua na kama maji maji ya maziwa.
2. Ni kawaida kuwa na maumivu makali ukikaa au kulala ukiwa na gono,
UPDATE; March 2024.
Ugonjwa niliokua diagnosed nao ni bacterial infection Kwenye prostate. Hii imepelekea kupata chronic Bacterial Prostatitis sababu ya kuto kupata matibabu ya uhakika mapema.
This condition is treatable.
It takes time. About 4 to 12 weeks or more.
Vipimo kama;
*culture
*urinalysis au
*swab ya urethra ...
mara nyingi havioneshi kitu,
Vipimo ambavyo Dr atakufanyia ni Digital Rectal Exam, Ultrasound, either Abdominal Ultrasound au Trans Rectal Ultrasound na Uroflowmetry.
Kuhusu Dawa;
**First line ni fluoroquinolones. ukiwa bado huko Sawa baada ya miezi mitatu, ni poa ukipewa.
**Second line Tetracyclines.
wengi ukimalizia na hizi utakua uko poa. Ikiwa bado utaenda
**Third Line macrolides.. kama hutakua poa bado after right duration dosage....
Zipo dawa nyingine Zaid lakin Urologists atakupa kulingana na post prostatic massage culture, endoscopy procedure au clinical picture uliyo nayo..
** Antibiotics kama zitamaliza infection hapa sasa utabaki na maumivu Makali Sana ya nerves na misuli Kwenye prostate SASA ni vizuri kufanya;
***pelvic exercises,
***stress management
***tumia supliments za vitamins kama zinc na vitamin C, (muulize Urologists wako)
***D-Manose pia inasaidia kuflash bacteria kwenywe mfumo WA mkojo
***Dawa, vitamins na supliments... vyote vinapatikana farmacy kubwa au farmacy za hospital kubwa.
(Usije inbox ukifikir nauza dawa)
IMPORTANT NOTICE: Kamuone Urologists Specialist, usipoteze muda.
Update 2: May 2024.
Nakua napata maswali mengi, to be clear;
Infections kwny prostate inasababishwa na bacterias kaadhaa, so treatment ita involved abx mbalimbali na haiwez kufanana Kwa kila MTU.
Kuna watu wanakua infected na;
**Enterococcus sp
**E coli
**Klebsiella sp
**P aeruginosa
**Neisseria g
**Clamydia tracomatis.
So treatment ya;
✓Acute Bacterial Prostatitis ni ya kulazwa hospital. Utapewa dawa Kwa IV Ina clear baada ya 4 weeks au iki ends in erratic course ina turn kuwa Cronic Bacterial Prostatitis.
✓Cronic Bacterial Prostatitis hii changamot treatment zake, utatibiwa outpatient muda ni 1 to 8 months au Zaid, au inapona halafu inarudi..
Update 3: Costs
Cost kubwa ni vipimo, maana at first nilikuwa natibiwa kama ugonjwa sugu WA zinaa, so ili Urologists waconfirm Kua ni ugonjwa sugu wanahitaji vipimo vingi Sana Ku rule out ugonjwa WA zinaa ambao ni sugu..
So nilipima;
Blood sugar 3times normal
Urinalysis 10times normal
Uroflowmetry once normal
Blood Picture twice normal
Abdominal X-ray once Normal
Semen Culture Once Normal
Abdominal ultrasound 6times
*1st time--- Cystitis
*2nd time--- Cystitis
*3rd time (Agakhan) --Prostatitis
*4th time (Agakhan Ocean road)-
-KUB normal still Prostatitis
*5th time Prostatitis Mixed
Ecotecture
*6th time (MDM mbezi) Trans
Rectal Ultrasound - Prostatitis
*Semen PCR/Urine NAAT sikufanya, ni very expensive inafanyika pale Lancet Labs Morocco. (Pia my specialist hakurecomend).. hii Dr atajua ni bacteria Aina gani wapo kwenywe prostate.
*Gram Stain Kwa wale wenye usaha kabisa(mim sikufanya, sikua na usaha)
*Semen analysis (sikufanya pia).
*Culture ya urine haiwez onesha kitu, otherwise iwe ni baada ya prostate massage ndio itampa specialist clue flan ya iyo inflammation kwenywe prostate.(sikufanya pia)
General Practitioners seen 4
Urology Specialist seen 3
So ukichek hapo ni vipimo na consultant fees ndio gharama,
Nikagundulika sina ugonjwa sugu wowote wala bacteria sugu. Ila ni something kama syndrome ya inflammation, irritation na pain Kwenye prostate. prostate.
Nimetumia close to tsh 2.0m
NOTICE MUHIMU: Usinifate inbox kuulizia dawa, sina na siuzi dawa Aina yeyote, Mtafute Urology specialist mapema, nasisitiza.
Tafadhal vijana wenzangu tumia condom kiufasaha, ukiona umepata shida kwenywe mfumo WA mkojo wai Kamuone specialist mapema. Matibabu ni gharama Sana, na Kwa wengin inakua inajirudia au inakuacha na ulemavu WA muda mrefu.