Wataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics

Habari za Harakat za Maisha Wana forum.

Mimi ni kijana Nina miaka 32.
Nimeugua UTI mara moja last year mwezi nov, baada ya kutumia mlango wa nyuma....
Nikaenda hospital nikapewa flucamox na metronidazole siku tano nikapona.

3 months ago nimekutana tena na demu yuleyule, nikapiga kawaida Tu bila mpira..... Nikaikasirisha mizimu....

Nikajua ni Ile UTI tena imerudi, nimekunya flucamox mara 2, bila nafuu....
Nikaenda zahanati nimepewa Augmentin cluvamate nikapata nafuu kidogo tatizo bado linarud....

Nikaenda hospital agakhan kigamboni, wakanambia kwenywe vipimo mkojo uko Sawa Ila Kwa maumivu ya pumbu na uume pia kutoa semen yenye maji mepesi ya maziwa ni STD ambayo ni gono...

Nikapewa Ceftriaxone injection 1g
Doxycycline 2/siku 10
Metronidazole 400mg/siku 10
Nikapata nafuu kipindi natumia dawa siku ya kumi Tu maumivi makali Sana kwenywe uume na chini ya kitovu, mkojo hauumi nikikojoa.... Usaha mara moja sana Hadi mwishon mkojo nikojoa ndio naweza uona. Nikipekenywe urethra naona kama vidonda ivi au ulcers....
Napata maumivu makali Sana nikaa au nikilala...

Nimetumia antibiotics for 3 consecutive months Hadi mdomoni nimepata candida..
Nikajua hapa basi nishaukwaa...

Nimeenda kupima hiv imetoka -ve, Dr kanambia kama nilimnyonya mate na yeye alinyonya uume basi ndio nimepata fangus mdomoni... Sometimes nameza Kwa shida Sana....

Nikachoma pesa kwenda Agakhan Ocean road, nimefanaya vipimo vya uroflowmetry, urinalysis, na ultrasound... Mtaalamu WA urology akasema Nina prostatitis..

Nimepewa Lomefloxacin 400mg siku 14, Alfuzosin siku 14 na aceclofenac...
Problem ni Kua hizi dawa zinanizingua Sana.

Nikaenda hospital tena Jana kisiwani kufanya kipimo cha HIV na damu, HIV sina ni negtv, Ila kwenywe damu Dr kasema bado kuna STD... Pia fungus mdomoni...
Kaniandikia
Cefixime 400mg PO 1*1/5
Ceftriaxone 2g injection
Azitromycin 1g PO stat
Fluconazole 150mg/10 days Kwa ajili ya fungus

Leo nipo siku ya pili naendelea na dozi, (dawa za prostatitis nimeziacha Kwanza nimalize gono)

Swali
1. je nikawaida Kwa gono kutoka usaha WA maziwa mepesi mara moja moja na pia kwenywe semen Kua na kama maji maji ya maziwa.

2. Ni kawaida kuwa na maumivu makali ukikaa au kulala ukiwa na gono,
Mlango wa nyuma ni nini ?
 
Tatizo la hospitali za siku hizi pesa mbele unaweza ukaenda huku ukaambiwa hivi ukaenda kule ukaambiwa vile yaani vurugu ili mradi pesa iingie tu.

Kwa mlolongo wa hizo dawa ulizotumia nilitegemea kipimo Cha C & S kiwe kimeshafanyika.
Hakuna na Agakhan nimekuta na specialist WA urology Dr zehr Kwa ambao wanampata.. labda kama Kiswahili kinampa shida
 
Science haiko hivyo ndugu, kila mtu angesema sina muda huo. Hata maarifa tuliyoyabeba ni transitional. Na haya ndo matatizo yetu waafrika, tunakuwa tuna kazi nyingi mikononi mwetu ila hatuoni umuhimu wa kuzifanyia kazi. Akija mzungu anaexpand kidogo tunaona ni breakthrough.
Una data sitting on then, unless ilikuwa ni sukuma twende.
Sayansi haisemi watu waingilie kila field. Mimi nime-specialize kwenye area nyingine. Hii nimetoa experience yangu tu. Sina background ya medical...
 
Unatumia jina la mtu mwenye uelewa wa Udaktari lakini una uelewa sawa na Manyaunyau
Hii ndiyo shida ya wasomi uchwala wa kiafrika, ugunduzi wa dawa tutausikia kwa wenzetu wa Ulaya, Amerika na Asia tu.
Umewahi kujiuliza babu wa mababu wa babu wa baba zetu walitumia dawa gani walipo pata maambukizi ya magonjwa ya zinaa?
 
Unajua unaezakutana na mwanamke ukaona anamaisha magum kidgo, nikasema Acha niwe nae, chochote nachotaka ananipa, simu moja yupo napotaka awepo nikamwamini... Na yeye kasema alishawahi tibiwa Ila hakunambia,, kanambia uken ulitoka uchafu WA njano na damu....
Nimekaa nae 2 years, picha picha imeanza 2 months ago na sina demu mwngine nnae enda kavu
Ndo Huwa nasema,mmoja akitulia mwingine majanga!
 
Tukiwaambia muache hii tabia huwa hamuelewi, kufirana ni uchafu, huko kuna mabakteria mengi ila naona kizazi cha sasa kipo bize ni mwendo wa kufirana tu.
ID yake mkuu inamponza hujui maana dopamine yaani kemikali inayotokewa na ubongo kwa ajili kukupa raha inakuambia ongeza bidii kny ujinga mf. kufukua Mlango wa nyuma kila saa hiyo homoni inakuambia kula mxigo
 
Huyo anapima mara kwa mara HIV sababu anauza mechi sana.Ana wanaume wengi na hawezi kupona coz hata akinywa dawa anaenda kukutana nao tena.Piga chini huyo demu. Sababu hata ukimaliza dozi,ukitembea nae tena atakuambukiza.
Sawasawa
Sijui kwann mtoa mada hajaona hili
 
Habari za Harakat za Maisha Wana forum.

Mimi ni kijana Nina miaka 32.
Nimeugua UTI mara moja last year mwezi nov, baada ya kutumia mlango wa nyuma....
Nikaenda hospital nikapewa flucamox na metronidazole siku tano nikapona.

3 months ago nimekutana tena na demu yuleyule, nikapiga kawaida Tu bila mpira..... Nikaikasirisha mizimu....

Nikajua ni Ile UTI tena imerudi, nimekunya flucamox mara 2, bila nafuu....
Nikaenda zahanati nimepewa Augmentin cluvamate nikapata nafuu kidogo tatizo bado linarud....

Nikaenda hospital agakhan kigamboni, wakanambia kwenywe vipimo mkojo uko Sawa Ila Kwa maumivu ya pumbu na uume pia kutoa semen yenye maji mepesi ya maziwa ni STD ambayo ni gono...

Nikapewa Ceftriaxone injection 1g
Doxycycline 2/siku 10
Metronidazole 400mg/siku 10
Nikapata nafuu kipindi natumia dawa siku ya kumi Tu maumivi makali Sana kwenywe uume na chini ya kitovu, mkojo hauumi nikikojoa.... Usaha mara moja sana Hadi mwishon mkojo nikojoa ndio naweza uona. Nikipekenywe urethra naona kama vidonda ivi au ulcers....
Napata maumivu makali Sana nikaa au nikilala...

Nimetumia antibiotics for 3 consecutive months Hadi mdomoni nimepata candida..
Nikajua hapa basi nishaukwaa...

Nimeenda kupima hiv imetoka -ve, Dr kanambia kama nilimnyonya mate na yeye alinyonya uume basi ndio nimepata fangus mdomoni... Sometimes nameza Kwa shida Sana....

Nikachoma pesa kwenda Agakhan Ocean road, nimefanaya vipimo vya uroflowmetry, urinalysis, na ultrasound... Mtaalamu WA urology akasema Nina prostatitis..

Nimepewa Lomefloxacin 400mg siku 14, Alfuzosin siku 14 na aceclofenac...
Problem ni Kua hizi dawa zinanizingua Sana.

Nikaenda hospital tena Jana kisiwani kufanya kipimo cha HIV na damu, HIV sina ni negtv, Ila kwenywe damu Dr kasema bado kuna STD... Pia fungus mdomoni...
Kaniandikia
Cefixime 400mg PO 1*1/5
Ceftriaxone 2g injection
Azitromycin 1g PO stat
Fluconazole 150mg/10 days Kwa ajili ya fungus

Leo nipo siku ya pili naendelea na dozi, (dawa za prostatitis nimeziacha Kwanza nimalize gono)

Swali
1. je nikawaida Kwa gono kutoka usaha WA maziwa mepesi mara moja moja na pia kwenywe semen Kua na kama maji maji ya maziwa.

2. Ni kawaida kuwa na maumivu makali ukikaa au kulala ukiwa na gono,
Mkuu huyo Dem wako ni Bar maid wa wapi?.... lisije jambo likanikuta na Mimi, Bar maid akiwa pisi kuliko mama yoyoo huwa sikiulizi mara mbili.
 
Wape kalio hilo wakupige Panadul inj akili ikukae sawa kamanda

Polee sana
 
Tumia mkojo wa punda dume uliochanganywa na maji ya malimao kikombe cha chai kimoja kila siku kwa wiki tatu mfululizo utakuwa umekomesha gono lote!
 
Wewe nani alikuambia ule mavi ( kupitia mlango wa nyuma)?
 
Huyo anapima mara kwa mara HIV sababu anauza mechi sana.Ana wanaume wengi na hawezi kupona coz hata akinywa dawa anaenda kukutana nao tena.Piga chini huyo demu. Sababu hata ukimaliza dozi,ukitembea nae tena atakuambukiza.
Mleta mada Zingatia hii ni muhimu sana,na ndo ukweli wenyewe
 
Back
Top Bottom