Wataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics

Wataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics

Pole kwa unayoyapitia
Lakini nakushaur acha uchafu,acha ngono kinyume na maumbile
Mavi yamebeba wadudu wengi ambao wakihamishwa madhara ndiyo hayo

Rudi hospitali elezea scenario yako na ikibidi ufanye culture and sensitivity ili kubaini dawa itakayofaa kwasababu hapo inaonesha umeshatumia dawa za hilo tatizo karibu asilimia 90
Pole
Thanks Kwa your time
 
Tusiwe wabishi bila sababu;
1: Kwa nini ung'ang'anie guidline iliyopitwa muda wakati mpya ipo? Na iko online?

2: Kwa nini ung'ang'anie syndromic tratment kwa kitu ambacho Rapid test(RPR) inaweza kukuondolea utata husika?

Cheap vs Rapid vs less negative effect.

Mtu unatetea kumchoma mwenzio antibiotics na arudie kwa siku kadhaa.
Wakati njia mwafaka ipo?

Tunatakiwa sisi tuwe wa kuwasaidia wenzetu kufuata taratibu husika.

1: Atibiwe kwa utaratibu mwafaka. Na kuhakiki baada ya tiba.

2: Atibiwe mwenza

3: Apewe elimu ya kujikinga na maambukizi yeye na mwenza kwa kuacha utaratibu wa sasa na kufanya ngono salama.

NB: Public na private health sector wote tuna nia njema kwa wateja wetu. Mambo mengine ya referrals kutokufanyika kwa wakati ni weakness za mtu mmoja mmoja si mfumo. Yanatokea pote kwa sababu mbalimbali. Tuungane kupambana tushauriane vyema ili tuendelee mbele dhidi ya adui wa afya zetu wenzetu.
Mkuu Good point sana
 
Maumivu ni makali Sana kwenywe base ya uume, na kwenywe urethra.. pia nikipeknya kwenywe urethra naona ulcers au vijidnda Ila usaha siuoni...
marisi schwein mkuu umeona nilichokuambia Sasa kuna History nyingi mgonjwa hajazisema hadharani licha ya kuwa na Gono pia ukifatilia ana Genital Ulcers..

Naungana na wewe Culture na sensitivity ni Muhimu..

Lakini pia kuna Possibility ya magonjwa kama Chlamydia..,Syphilis ambayo madaktari wameyaoverlook..

Kudos .....Hapa culture muhimu kuliko dawa unazokunywa
 
Utapona tu,ila ukome kufanya ngono kipumbavu.Pia mpigie simu huyo mwanamke na yeye akajitibu na yeye awapigie wote aliotembea nao na wao wawapigie waliotembea nao.Mweh ni vicious cycle. Get well soon. Hivi inatokeaje mtu unafanya ngono zembe ?Kwangu mimi utajiri number moja ni afya njema.Kamwe siwezi kufanya ngono hovyo hovyo na watu wa hovyo.
Hii,, comment nimecheka sana

Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
 
Swadacta wew kama umeniona ...
Kabisaaa mim usaha siuoni Ila unatoka mkojo kawaida, na matone ya mkojo ya mwisho meupe Ila ukikaa mwishon mara moja moja utaona maziwa meupe mepesi na kwenywe semen pia yapo maziwa meupe na semen zenywe Tu na hata kwenywe urinalysis wanasema iko poa, Ila damu haijakaa sawa Dr kasema mwili unapambna.
Maumivu ni makali Sana kwenywe base ya uume, na kwenywe urethra.. pia nikipeknya kwenywe urethra naona ulcers au vijidnda Ila usaha siuoni...
Usinywe tena dawa bila kupima hicho kipimo. Kuna jamaa mmoja alisumbuliwa kweli kweli na hali hiyo. Alipofanya hicho kipimo akakuta gentamicin sindano ndiyo dawa pekee inayoponyesha. Kama nakumbuka vizuri alichoma kwa siku tano kila siku asubuhi na jioni. NOTE: Gono la aina hiyo mara nyingi sindano ndiyo zinaponyesha. Ukinywa vidonge havina nguvu kama sindano. Huu ni uzoefu wa mtaani wa jamaa wengi. Good luck!
 
Umeanza vizuri, mwisho ukavuruga. Dawa si lazima iwe sindano.

Kitu kikubwa ni kujua mdudu husika anakufa kwa dawa ipi. Mwisho utaandikiwa dawa husika iwe kidonge au sindano. Uchaguzi pia hutegemea na vitu vingi:
1: Uwezo wa kifedha

2: Uhitaji wa uangalizi kuhakikisha unamaliza dawa/dozi.

3: Upatikanaji wa dawa husika.

4: Uwezo wa mtumiaji kunywa au kuchoma.

5: Aina ngapi za dawa zenye uwezo husika

6: Nk...
 
Umeanza vizuri, mwisho ukavuruga. Dawa ai lazima iwe sindano.

Kitu kikubwa ni kujua mdudu husika anakufa kwa dawa ipi. Mwisho utaandikiwa dawa husika iwe kidonge au sindano. Uchaguzi pia hutegemea na vitu vingi:
1: Uwezo wa kifedha

2: Uhitaji wa uangalizi kuhakikisha unamaliza dawa.

3: Upatikanaji wa dawa husika.

4: Uwezo wa mtumiaji kunywa au kuchoma.

5: Aina ngapi za dawa zenye uwezo huaika

6: Nk...
Nalijua hili. Sindano na vidonge ni sawa. Ila mimi nimesema kutokana na uzoefu. Trust me. Sindano inaingia kwenye blood system moja kwa moja. Dawa kunaweza kuwa na factors zinazoathiri how absorption take place. Atumie sindano.
 
Acha FACT kama ilivyo. Maneno tunayoongea na kuandika humu yanaishi na yataishi kuliko sisi hivyo tujitahidi kubaki kwenye hali halisi.

Hakuna sababu ya uharaka wa drug delivery na mechanism of action kwa mgonjwa husika. Kila dawa inatengenezwa na bioavailability yake na therapeutic index yake. Ukizingatia haya wazo lako halina nafasi. Labda kama tunajitibu SISI kisaikolojia.
 
Baada ya Mimi kuugua nilimjulisha akawa anawasiwasi, pia anakijitabu cha magonjwa ya STD nikajua Tu kapewa zahanati,
ukajua kapewa Zahanati, kwa hiyo una guess, huna hakika kama ametibiwa au la, yani hamna uwazi kati yenu mtu anaekuachia ngono za kuumizana na kufumuana makalio ?

naanza ku doubt hii story yako... mtu unaekunywa ma antibiotics mpaka figo zinaenda kutoboka huwezi kuja kujichekesha chekesha hapa eti "japo naumwa nipo bado mitandaoni kama kawa..."

halafu specialist wa Agha Khan ya Sea View amekwambia sio Gono wewe unakazania Gono ili kutengeneza a titilating sex story....

na mahospitali na ma antibiotics yote hayo hakuna doctor hata mmoja aliye order culture test ?

Please!
 
Acha FACT kama ilivyo. Maneno tunayoongea na kuandika humu yanaishi na yataishi kuliko sisi hivyo tujitahidi kubaki kwenye hali halisi.

Hakuna sababu ya uharaka wa drug delivery na mechanism of action kwa mgonjwa husika. Kila dawa inatengenezwa na bioavailability yake na therapeutic index yake. Ukizingatia haya wazo lako halina nafasi. Labda kama tunajitibu SISI kisaikolojia.
Nasisitiza. Hayo nayajua na kitabibu ndivyo ilivyo. Lakini narudia tena kusema: uzoefu wangu wa mtaani ndiyo ulinipa hii conclusion. Kwenye gono alilosema jamaa, sindano ndiyo best. Ni kitu nimeshuhudia kwa watu wengi.
 
Napenda sana k ila kila nikiwafikiria hawa wadudu nakosa hamu kabisa,naishi na U.T.I sugu mwaka wa nane sahv nko nayo,niliambukizwa na bar maid ambae nilimfanya kama mke 2015
Dah!...tafuta tiba mkuu, kwanini ukubali kuishi kwa kuteseka miaka yote hiyo wakati tiba zipo na wataalamu wapo ?....au ulitibwa ila hukupona ?

Wataalamu DR Mambo Jambo marisi schwein Lukonge toeni ushauri hapa kwa huyu mdau.
 
Yeye alishawahi tibiwa nikambana Akasema, pia yupo nami bega bega kuhakikisha napona, HIV nilkua staki kupima, akanambia sina, sababu yeye anapima mara Kwa mara. Ndio nikapata nguvu ya kupima HIV ikaonena negativ... In short yaana huwez Amin aseee naona kama picha
kwenye hayo matibabu yako mshirikishe naye pia.....wala hakuna haja ya kumchukia wala kumbagua,...ila napata mashaka sana kusikia mlango wa nyuma kwa mtu ambae unamahusiano nae kwa namna hiyo,.. hapo nadhani kwanza wote mmekutana akili zenu ziko sawa( ni unthinkable)...upuuzi, hasa ukifikiria madhara yake,...

kuanzia miaka ya 2018 nilianza kusikia uwepo wa magonjwa ya zinaa sugu, yasiosikia dawa kabisaaa sehemu mbali mbali za Dunia,...na kwa hapa Tanzania ilikuwa ni maeneo waliyokaa kaa sana wachina na maeneo ya machimbo ndiko kulikuwa na visa vingi sana vya magonjwa hayo, mengine yalipelekea watu kuoza sehemu zao za siri,...
jitahidi umalize dozi yako vizuri, punguza msongo wa mawazo, kula vizuri na pia kama ungekuwa mikoani ungewaona wazee wa miti shamba au tiba mbadala wanasaidia sana....

kila rakheri..
 
Nasisitiza. Hayo nayajua na kitabibu ndivyo ilivyo. Lakini narudia tena kusema: uzoefu wangu wa mtaani ndiyo ulinipa hii conclusion. Kwenye gono alilosema jamaa, sindano ndiyo best. Ni kitu nimeshuhudia kwa watu wengi.

Hakuna namna nyingine naweza kusema. Nayaacha yote mikononi mwako. Sina uhakika kama una comparative studies za aliye na gono aliyechoma vs aliyekunywa vidonge. Au ni mazoea.
 
Back
Top Bottom