Wataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics

Wataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics

Dalili ya mwanzo inaweza kukuletea kidonda sehemu za siri kisicho na maumivu baadae kinatoweka. Mara nyingi Syphilis inakaa mwilini muda mrefu ( miaka kadhaa) bila kuonesha dalili yoyote tunaita latent phase. Kwa hiyo njia sahihi zaidi ni kufanya kipimo na uzuri kwa Tz kila mama mjamzito hupima Syphilis pindi anapohudhuria kliniki
Na pia white spots kwenye penis inaweza kuwa ni dalili ya ugonjwa gani.
 
Habari za Harakat za Maisha Wana forum.

Mimi ni kijana Nina miaka 32.
Nimeugua UTI mara moja last year mwezi nov, baada ya kutumia mlango wa nyuma....
Nikaenda hospital nikapewa flucamox na metronidazole siku tano nikapona.

3 months ago nimekutana tena na demu yuleyule, nikapiga kawaida Tu bila mpira..... Nikaikasirisha mizimu....

Nikajua ni Ile UTI tena imerudi, nimekunya flucamox mara 2, bila nafuu....
Nikaenda zahanati nimepewa Augmentin cluvamate nikapata nafuu kidogo tatizo bado linarud....

Nikaenda hospital agakhan kigamboni, wakanambia kwenywe vipimo mkojo uko Sawa Ila Kwa maumivu ya pumbu na uume pia kutoa semen yenye maji mepesi ya maziwa ni STD ambayo ni gono...

Nikapewa Ceftriaxone injection 1g
Doxycycline 2/siku 10
Metronidazole 400mg/siku 10
Nikapata nafuu kipindi natumia dawa siku ya kumi Tu maumivi makali Sana kwenywe uume na chini ya kitovu, mkojo hauumi nikikojoa.... Usaha mara moja sana Hadi mwishon mkojo nikojoa ndio naweza uona. Nikipekenywe urethra naona kama vidonda ivi au ulcers....
Napata maumivu makali Sana nikaa au nikilala...

Nimetumia antibiotics for 3 consecutive months Hadi mdomoni nimepata candida..
Nikajua hapa basi nishaukwaa...

Nimeenda kupima hiv imetoka -ve, Dr kanambia kama nilimnyonya mate na yeye alinyonya uume basi ndio nimepata fangus mdomoni... Sometimes nameza Kwa shida Sana....

Nikachoma pesa kwenda Agakhan Ocean road, nimefanaya vipimo vya uroflowmetry, urinalysis, na ultrasound... Mtaalamu WA urology akasema Nina prostatitis..

Nimepewa Lomefloxacin 400mg siku 14, Alfuzosin siku 14 na aceclofenac...
Problem ni Kua hizi dawa zinanizingua Sana.

Nikaenda hospital tena Jana kisiwani kufanya kipimo cha HIV na damu, HIV sina ni negtv, Ila kwenywe damu Dr kasema bado kuna STD... Pia fungus mdomoni...
Kaniandikia
Cefixime 400mg PO 1*1/5
Ceftriaxone 2g injection
Azitromycin 1g PO stat
Fluconazole 150mg/10 days Kwa ajili ya fungus

Leo nipo siku ya pili naendelea na dozi, (dawa za prostatitis nimeziacha Kwanza nimalize gono)

Swali
1. je nikawaida Kwa gono kutoka usaha WA maziwa mepesi mara moja moja na pia kwenywe semen Kua na kama maji maji ya maziwa.

2. Ni kawaida kuwa na maumivu makali ukikaa au kulala ukiwa na gono,
Nimtafute inbox nikusaidie pole sana
 
Mkuu Kuna wakati as a Medical Personel Hutakiwi kuwa mbishi..

Kabla sijaendelea nilikuulza mwanzoni unajua maana ya Treatment as Per syndromic Approach..
Hakuna Treatment ya mwanzoni ya Syndromic approach inayofanywa kwa kufanyika vipimo..

Vipimo Huja baada ya 2n line Treatment kufail..

Na for the Info niko aware na Current Guildline ila ulichouliza hakikuhusisha current guildline..

Hii hapa hiyo syndromi. Approach japo nilikuambia page namba 129 na chart nilikupaa..

View attachment 2843440

Kuna sehemu umeona VDRL/RPR
Ulicholeta hapa ni treatment of genital sore na sio syndromic approach treatment ya STIs. Kwenye historia ya mgonjwa wetu hakuna historia ya kidonda sehemu za siri ! Hizi mambo za kung'ang'ana na Penadur unazitoa wapi?
 
Na pia white spots kwenye penis inaweza kuwa ni dalili ya ugonjwa gani.
White spots zipi? Au unaongelea mfano wa vitiligo spots km hizi hapa chini?
images.jpeg
 
Nenda kachome powersafe ya kwenye mshipa choma sindano 5 kila sindano huwa 5000, ukimaliza kunywa strong antibiotic yoyote kwa siku 7. Preferably chukua azuma.
Zikifeli chukua mizizi ya papai chemsha unywe siku 7 mara 3 kila siku.
NB haya matibabu mpe nz mpenzi wako
Wewe ni Daktari au unatak mwenzio aweke uhai wake rehani kwa kufuata ushauri wa kubahatisha? Lini Watz tutajifunza kuacha kuwa Madaktari uchwara?
 
Kuna sindano moja n msumal wa moto uo kwanza picha linaanza unatakiwa kwenda kuichoma ukiwa umeshiba na inapgwa tako zote mbil yan nusu tako moja nusu nyingine tako moja apo unatakiwa kurud baada ta siku ya 3 unapgwa nyingine tena kwa style iyo iyo mpka wiki iishe ila ukitoka apo ngono utaishia kuiona kwenye magrupu ya telegram mana sndano inauma n hatar na ukipgwa iyo unapumzishwa kama dakika kumi ndio unaambiwa nenda.. kaitafute itakusaidia kulko kunywa ivyo vidawa vya infection na cha kukuongezea Gono ni ugonjwa uliotoka kwa Mbwa kuptia ngono na wanyama wazungu wakalipata wakajkuta limeanza kuenea kwa binadam ndio mana kama unafuga mbwa jarbu kumwangalia nyet zake ua znatoa hayo mavitu yanayokutoka sasa. ACHA NGONO ZEMBE NA KUPGA MADEM CHIP WATAKUUA
 
Alikuambia hana rashes mkuu au umefanya conclusion mwenyewe?
Umemuuliza
Kwani si keshaeleza complaints zake mkuu kwann nitengeneze complaints zangu mwenyew? Labda nikuulize wewe kama amekueleza ana kidonda sehemu za siri mpaka ukaja na hiyo conclusion ya kutumia Penadur.

All in all Point yangu inabaki palepsle kuwa Penadur sio part ya syndromic approach treatment of STI unless mgonjwa awe na genital sore au RPRiwe positive. Najua Madaktari wa zamani mlikuwa mnaitumia lakini mkubali ilikuwa makosa na mnapaswa kuacha
 
Hiyo sindano unayoisema ni Penadur na Ina very narrow range of bacteria coverage kwa hiyo sio msaada kwa mgonjwa zaidi ya kumuumiza.

Kwanini Watz mnapenda kutoa ushauri kwa mambo msiyo na utaalam nayo na sensitive sana yanayohusu uhai wa watu. Hebu jikite kwenye fani yako usilete trial and error kwenye uhai wa mtu.
 
Nenda kachome powersafe ya kwenye mshipa choma sindano 5 kila sindano huwa 5000, ukimaliza kunywa strong antibiotic yoyote kwa siku 7. Preferably chukua azuma.
Zikifeli chukua mizizi ya papai chemsha unywe siku 7 mara 3 kila siku.
NB haya matibabu mpe nz mpenzi wako
Umepiga kwenye mshono.

Wewe ndo daktari wa kweli sasa, uko SIMPLE and STRAIGHT TO THE POINT.

Achana na hawa MAKASUKU wanaoshindana kukariri misamiati ya KIGIRIKI lakini hawawezi kutibu mtu.

Mambo ya AMPHETAMINE THROMBOLYSIS 🤣🤣🤣🤣🤣🙈🙈🙈

Hovyo kabisa 😂🤣
 
Unataka adungwe sindano gani itakayosambaratisha bakteria wote?

ITAJE HAPA, acha maneno mengi.
Nilishajibu kuwa afanye culture and sensitivity ambapo mdudu ( bakteria) anayemsumbua atatambulika kwa jina na dawa zinazomuua.

Mathalani anaweza kuwa ana mdudu mfano ni Escherichia coli mwenye gamba gumu ( ESBL positive) ambaye anauawa na dawa km vile Carbapenems, Amikacin, Fosfomycin., Nitrofurantoin n.k. Hivyo basi akitumia hizi dawa zilizozoeleka huenda asipate nafuu abadan

Ili kuepusha kupiga ramli na kubahatisha ndio maana nikamshauri afanye culture and sensitivity kwenye maabara reputable km Lancet, Metropolis n.k( Note : Reputable Laboratories na sio uambiwe maabara nyingi zinafanya coz wore tunajua wataalam wetu baadhi ni tia maji km Carlos The Jackal )
 
Nilishajibu kuwa afanye culture and sensitivity ambapo mdudu ( bakteria) anayemsumbua atatambulika kwa jina na dawa zinazomuua. Anaweza kuwa ana Escherichia coli mwenye gamba gumu ( ESBL positive) ambaye Hafiz mpaka kwa Carbapenems, Amikacin, Fosfomycin., Nitrofurantoin n.k. Hivyo akitumia hizi dawa zilizozoeleka huenda asipate nafuu abadan

Ili kuepusha kupiga ramli na kubahatisha ndio maana nikamshauri afanye culture and sensitivity kwenye maabara reputable km Lancet, Metropolis n.k
SAWA.
 
Ulicholeta hapa ni treatment of genital sore na sio syndromic approach treatment ya STIs. Kwenye historia ya mgonjwa wetu hakuna historia ya kidonda sehemu za siri ! Hizi mambo za kung'ang'ana na Penadur unazitoa wapi?
Alikuambia hana rashes mkuu au umefanya conclusion mwenyewe? Kwamba hana rashes bila kumuuliza..

Umemuuliza?

Mkuu as my Knowledge of Reading and see ulisema kuwa hakuna syndromic approach yoyote inayotibu bila kupima..
Nisaidie kuleta hiyo guideline inayosema tutumie Penadur bila VDRL/ RPR kuwa positive. Napenda pia nikukumbushe the current guideline ni ya mwaka 2021/2022 hiyo ya 2017 Isha kuwa phased out though Nina uhakika kuna kitu umeoverlook kwenye VDRL/ RPR

All in all mkuu uko sawa ila tatizo ni mifumo yetu ndo inaingiza siasa kwenye matibabu....

Na unachosema Ni medically correct ila huku makazini hakifmayiki
 
Kwani si keshaeleza complaints zake mkuu kwann nitengeneze complaints zangu mwenyew? Labda nikuulize wewe kama amekueleza ana kidonda sehemu za siri mpaka ukaja na hiyo conclusion ya kutumia Penadur.

All in all Point yangu inabaki palepsle kuwa Penadur sio part ya syndromic approach treatment of STI unless mgonjwa awe na genital sore au RPRiwe positive. Najua Madaktari wa zamani mlikuwa mnaitumia lakini mkubali ilikuwa makosa na mnapaswa kuacha
UD sio STI mkuu..
But uko sawa Tusibishane kwenye vitu ambavyo havina msingi cha msingi tujikite kwenye Kumtibu mgonjwa..

Kuna signs ma symptoms zingine inabidi umuulize mgonjwa sio zote atakuambia you have to probe kama ana sign za Rashes..

All in all lets stick kumsaidia mgonjwa ila tukijibizana haileti picha nzuri na ni ethically prohibited
 
Back
Top Bottom