Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Unakuwa na mwanamke anakupa fungus halafu bado unaendelea nae.You must be..... aisee.Unasema UTI ikute ilikuwa ugonjwa wa zinaa hata hayo maambukizi ya kwanza.Shukran Sana Dr Kwa your time, nothing to reward...
Mwanamke nilkua nae since last year Nov, na miezi hiyo nilpata UTI nikapewa flucamox nikapona kabisa.
September mwaka huu ndio nikapata Tena hii UTI mwanamke huyuhuyu Ila ndio haiponi.
Awali nimetumia dawa za UTI bila kupata nafuu, inapoa Tu ukimaliza dozi ikarudi, ndio nikabadil hospital wakanambia Kwa dawa nilizotumia kama ni UTI ingekua imeisha nilichonacho ni STD nikapewa dawa lakini ndio siponi..