Wataalamu naomba msaada hapa, nina Gono sugu isiyosikia Antibiotics

Usikalili watopolo wengi waliomo umu ukajua wote ndio ivo
Hilo karatasi halisomeki, sijui lina prove kitu gani, na lina giza, simu yako haina charge....

JIBU SWALI

1/ Wamekubadilishia ma antibiotics kibao hospitali tatu sijui tano bila ku order culture test ????

2/ Umesema uliwaambia zigo lako limekuambukiza lakini hakuna hata doctor mmoja aliyekuuliza huyo dada kaponaje au ana hali gani au kamlete ???

Hujui aliyekuambikiza yeye kafanyaje au kawa diagnosed na kitu gani, sasa umejuaje huyo demu ndo kakuambukiza na sio wewe uliyemwambukiza na ma bar maid wako ????

Please!

Hii ni tamthiliya ya magonjwa ya zinaa
 
Hilo karatasi halisomeki, sijui lina prove kitu gani, na lina giza, simu yako haina charge....

JIBU SWALI

1/ Wamekubadilishia ma antibiotics kibao hospitali tatu sijui tano bila ku order culture test ????

2/ Umesema uliwaambia zigo lako limekuambukiza lakini hakuna hata doctor mmoja aliyekuuliza huyo dada kaponaje au ana hali gani au kamlete ???

Hujui aliyekuambikiza yeye kafanyaje au kawa diagnosed na kitu gani, sasa umejuaje huyo demu ndo kakuambukiza na sio uliyemwambukiza na ma bar maid wako ????

Please!

Hii ni tamthiliya ya magonjwa ya zinaa
Sipo kuelezea matatizo yote hapa, isipokua nataka nipate mawazo yanayoweza nisaidia kutatua changamot niliyonayo.

Huyu mwanamke yeye alishatibiwa, pia sipo nae tunaish sehemu tofauti.
Pia Dr kasema kwao hawana dalili Sana ni kama carriers. Ila nilipo mwambia naumwa naona kama anaufahamu huu ugonjwa mim ndio mgen nao.

Pili, nimeenda hospital wilaya kigambn mara 3, napima mkojo ultrasound had x-ray wakasema Nina cystitis nikapewa dawa UTI hamna kitu

Nikaanza kwenda Agakhan kigambn pale Dr kanambia mkojo hauna shida Ila kama Nina maumivu makali kwenywe pumbu na shina ya uume basi Nina STD nikapewa antibiotics..
Sijapona...
Nikaenda agakhan ocean road, kumuona specialists WA urology kufanya vipimo kasema prostatitis...
Dawa nilizopewa nikinywa Hadi kuona ni Kwa shida nikaachana nazo..
Juzi nilkua ferry kazin, nikakuta nashindwa kumeza pia napata maumiv kwenye koo, nikaenda hospital ya kisiwani pale nikapima HIV ikawa -ve, nikapima na damu, Dr akanambia inaonesha mwili unapambna na infection na historia nilivo mpa basi akajua ni STD gono, akanipa nae antibiotics... Pamoja na antifungal kupunguza fungus kutokana nipo kwenywe antibiotics muda mrefu...

Sasa ndio nimekuja Kwa wanaforum kupata mawazo mengine au kama kuna mdau ashawahi jua kunasehemu ya vipimo uhakika nikafanye....

Lakini watu, wanakejeli, wanatukana, wanasema we kufa Tu,... Nasema sio shida...
Hili ni tatizo la jamii, SASA mi kidogo nataka watu wajue Tu ili nao wasije kuja kupata kitu kama hii,
I hope nime answer your questions...
Siku njema
 
Wewe kwisha kazi yako. Kwanza hapo ushapoteza kizazi, kuanzia sasa ukiambiwa mtoto ni wako ujuwe umebambikiwa.

Huo ugonjwa ni sugu na hauponi, subiri umauti tu.

Fanya toba zako kwa namna ujuavyo, hakuna dakrari wa kukusaidia kaswende sugu hilo, limechanganyika na ukimwi.

Ukimwi ukipimwa hapo hauonekani, bakteria wanakula virusi lakini unavyo, bakteria waki[unguwa ndiyo ukimwi utaonekana, bado una incubate.

Rudi kwa muumba wako ufanye toba, kwisha kazi yako ya uasherati na uzinzi.
 
Hahahaha poa Kwa your time
 
Wewe Bibi jifunze kuwa muungwana kwa mgonjwa....
 
Unatindua 'tope' ili iweje? Unapakua 'samvu la kopo' ili upate nini?

Nowadays mbunye zenyewe tu ni kuzibandua kwa prikosheni kubwa coz zimeoza with chronic infections, sembuse 'mtaro wa nyuma'?!!!

Ujana maji ya moto. Tuyaoge kwa tahadhari. 😎

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom