Wataalamu naomba ufafanuzi kwenye hili tukio

Wataalamu naomba ufafanuzi kwenye hili tukio

Inshu ya mwanao ni inshu ndogo ila Hatari kama akikoswa huduma.

Nchi yetu Bado haijafika hatua kama za huko Ulaya .


Wizara ya Afya inajitahidi sana kuhakikisha hata Ngazi ya Zahanati kunakuwepo na wahudumu, jambo la Msingi kuendelea kutoa Mafunzo Kwa wahudumu Hawa, na pia kuhakikisha Kwa level zao bado tunazalisha watu Makini zaidi ili wawe na Weledi mkubwa zaidi...na hapa Wizara ya Afya na Wizara ya Elimu vinawajibika .

Hawa wahudumu wanafanya kazi kubwa sana hasa maeneo ya vijijin huko Ndani ndani.

Hivo ni kosa kubwa kuwadharau au kuwabeza!!.
nathamini juhudi zao ila baadhi yao dharau ni khulka yao ila nashkuru kuna dk mmoja alinipokea vizuri wakati napambana na hili tatizo tulikuwa tunawasiliana kwa sim akitoa muongozo nini kifanyike
 
Back
Top Bottom