Wataalamu wa Biashara nauliza Comfort Iringa ilikufaje wakati ilikuwa na wateja abiria wa mabasi?

Wataalamu wa Biashara nauliza Comfort Iringa ilikufaje wakati ilikuwa na wateja abiria wa mabasi?

Hapa BONGO ukiiga biashara unaweza firisika
Mfano kma unaona SHABIBY ana mabus kibao
Il ukiambiwa Utajiri wake upo sehemu nyingine utakataa
Iga wewe sasa uanzishe bussines kama hiyo itakufa kifo cha mende kma SUMMY za mbeya
hawa wanakuwa na biashara nyingine za magendo hutumia vitega uchumi kama hvyo kutakatisha fedha
sasa zile deal zikifa inakuwa ngumu kuendesha BIASHARA isiyo na faida

Nb-: hiyo SHABIBY nimetoa mfano tu ili nieleweke haisuiani msije mkampopoa mzee wa watu yeye anasema wakt yupo na miaka 20 tayari anamiliki mabus je wewe kijana una miaka 30 unamiliki nini smartphone au
 
Wataalamu wa Biashara nauliza Comfort Hotel, kitonga Iringa ilikufaje wakati ilikuwa na wateja abiria wa mabasi?

Kila jambo na zama zake. Kwani Blackberry ilikufaje?

Ngoja aje mwana iringa johnthebaptist atupe ukweli cha comfort kufa

Ova

Na pamekua ghetto la ngedere pale kweli
Hizi ndio biashara za kibongo..
Akifa mmiliki/mwanzilishi/baba basi na biashara imekufa..!!!

Hilo ndilo lililotokea kwa COMFORT KITONGA.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Hapoa BONGO ukiiga biashara unaweza firisika
Mfano kma unaona SHABIBY ana mabus kibao
Il ukiambiwa Utajiri wake upo sehemu nyingine utakataa
Iga wewe sasa uanzishe bussines kama hiyo utakufa kifo cha mende kma SUMMY za mbeya
hawa wanakuwa na biashara nyingine za magendo hutumia vitega uchumi kama hvyo kutakatisha fedha sasa zile deal zikifika inakuwa ngumu kuendesha BIASHARA isiyo na faida

Nb-: hiyo SHABIBY nimetoa mfano tu ili nieleweke haisuiani msije mkampopoa mzee wa watu yeye anasema wakt yupo na miaka 20 tayari anamuliki mabus je wewe kijana una miaka 30 unamiliki nini smartphone au
At 30 namiliki smartphone na tablet 🤣🤣🤣
 
Wataalamu wa Biashara nauliza Comfort Hotel, kitonga Iringa ilikufaje wakati ilikuwa na wateja abiria wa mabasi?
Mmiliki alipata hela kwa kutoka na biashara chafu (cocaine). Alipokufa familia ilishindwa kuingia kwenye biashara chafu kwa vile ilikuwa ni siri yake.

Mmiliki hakuwa na kisomo, wala hakuwasomesha wana familia na kuwaandaa namna ya ku take over (succession plan and on going concern concept)
 
Doh, mtihani sana huu
 
Na alikuwa ana maono na kule ndani kulikuwa na vyumba vya kulala vizuri alafu ule mto umekatiza jirani na vyumba unafanya mazingira kuwa fresh

Ila imeanguka kitambo tangu 2006 huko ilikuwa hoi though kuna kipindi inaamka kiana japo kwa abiria wa mabus

Palivyo porini lakini usiku palikuwa balaa hasa likipugwa disco vumbi unajiuliza Hawa wadada wametoka wapi
 
Mmiliki alipata hela kwa kutoka na biashara chafu (cocaine). Alipokufa familia ilishindwa kuingia kwenye biashara chafu kwa vile ilikuwa ni siri yake.

Mmiliki hakuwa na kisomo, wala hakuwasomesha wana familia na kuwaandaa namna ya ku take over (succession plan and on going concern concept)
Wee na yale mabus alikuwa anatakatisha tu si alikuwa anaishi willolesi
 
Back
Top Bottom